NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

allen 0/7 from behind the arc......................
 
game over,ray allen kaua timu leo..............hero to zero...................
 
Kibabu Fisher safi sana, huyu jamaa anafaa sana ktk game tight na muhimu.
 
........Naona neema imewaangukia LA leo.:roll:
 
Paul Pierce alisema hatarudi tena LA, sijui atasemaje baada ya game la leo. Mpaka sasa nina uhakika game limeisha na LAL wanachukua game 3.
 
na afadhali angecheza vizuri basi...............
 
haahahahahaha! Paul Pierce alisema Celtics hawatarudi tena LA baada ya kushinda game 2, akimaanisha Celtics watashinda game zote 3 za nyumbani. He gonna eat his words!
 
Celtix sasa chup* zinaanza kubana. Walivouropu siku ile na 3's za Allen basi wakajiona wamo. G4 series inaenda 3-1, halafu tunarudi Staples center kufungua champagne

WaATU WEWEEEEEEEeeeeeeeeeeeeee!
 
it's 2 3 2 system, kwa hiyo game 4 and 5 zote zinachezwa Celtics
 
Paul Pierce alisema hatarudi tena LA, sijui atasemaje baada ya game la leo. Mpaka sasa nina uhakika game limeisha na LAL wanachukua game 3.

haahahahahaha! Paul Pierce alisema Celtics hawatarudi tena LA baada ya kushinda game 2, akimaanisha Celtics watashinda game zote 3 za nyumbani. He gonna eat his words!

Wakifungwa game zote 3 hapo nyumbani pia atakuwa harudi LA....Come on Lakers, prove him right.
 
lol ... hilo ni gumu kiasi maana games zote ziko wazi, so any one can win. Lakini kwa sasa angalau LAL wana uhakika kwamba home court advantage walioipoteza game 2, wameweza kuikomboa. But wasipo bweteka na ushindi wa leo, may be wanaweza kushinda one more game kabla ya kurudi LA.

GO LAL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…