MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Hii game bado ngumu sana wakuu.
3rd quarter inaisha Celtics juu by 9pts....76-67.
Wapi Paul Pierce leo?
Unajua hawa Celtics huwaga wazembe wazembe hawa....nawaambieni hii ngoma Cavs wanachukua...subirini tu
Wapi Paul Pierce leo?
wewe kweli mzalendo aisee. Haya tusubiri maana naona lead imeshuka kinoma.
all of a sudden it's 14 pt lead?
Lead is 14 now with 6 minutes or so to go.