NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

hawa wachezaji wamechoka sana, LA wamechoka zaidi, utadhani wamepuliziwa gase ile ya FFU
Hata kuchoka kuchoka gani? Kutoa pasi mkaa inahitaji uwe umechoka kiasi gani jameni?
 
Allen anakosa freethrow ya kwanza lol makubwa haya
 
.........Wanaume wanacheza jamani yaani hawa kweli wanakula kwa jasho lao...........huyu Gasol naye hajui kulenga.
 
LAL wanashindwa ku-notice kwamba muda ndio waenda hivo.
 
...........Tight kinoma 64 -64 sasa hureeeeeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…