Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
-
- #141
Dragic anajaribu kupenetrate kuliko ilivokuwa kwa Nash. Jeraha linamsumbua inaonekana.
Nash anadai bado haoni vizuri...akija kuona vizuri na series imekwisha hahahahahaha
Nash anadai bado haoni vizuri...akija kuona vizuri na series imekwisha hahahahahaha
I can't call this game yet.....
Ndugu yangu usitukane mto kabla hujavuka mamba. Ukiangalia hatua zilizopita Magic hawakuwa wakimtegemea Superman kwa sababu alikuwa na foul trouble left and right, watu kaa akina Carter, Reddick, Nelson, Pietrus, Lewis na wengine ndio walioifikisha Magic kwene ngwe hii na sio Superman. I still believe hii series inaeza enda 4-1 to Orlando...