NBA Season 2015 - 2016: Special thread

hakuna defender yeyote anaeweza mzuia le bron james akiamua kucheza... shida ya cavaliers wachezaji waliobaki hawana consistency.. na wana injury nyingi.. mfano mwaka jana tu irving, love, wangekuwa wazima warriors wasingepata ubingwa..

kama le bron na bench players tu walipeleja series game 6. na hapo le bron anapiga ma 40 points kwenye game za away....

cavaliers hata wasipopata ubingwa hakuna sabab ya kumponda le bron.. anawabeba sana na sana..

cavs wanachukua east tena this year... raptors hata heat hawawezi mzuia le bron
 
Ila yote ya yote mtakayekutana naye yoyote kwenye Finals hamtapata mteremko kama huo wa Hawks..
Braza naona unahamisha magoli tu...ulianza na Pistons, wakapewa haki yao. Ukasema Hawks, sasa umeshakubali matokeo hata kabla ya series kuisha. Unafanya tena u-sheikh Yahya kwa kusema Cavs hawatapa mteremko Finals! Utahamisha magoli mpaka utamaliza uwanja.
 
Mkuu naomba uniqoute niliposema Hawks watawapa shida Cavs...

Nilisema East Eight seed inaweza kumchallenge first seed wakati huo Pistons na Pacers walikuwa wanagombania hiyo namba 8.. Na favorite hapa niliyekuwa namwongelea na Pacers..

Second round nilidhani Celtics ndio watapenya... Na hawa wangefanikiwa kupenya lazima wangewapa shida.. Hawks ya mwaka jana iliyokuwa bora kabisa mliifagia kwenye finals ndio iwe Hawks hii mbovu?? Hakuna nilikosema Hawks ataipa shida Cavs maana nawajua hao hawana lolote..
 
teh teh teh teh teh Iggy alimfanya nini huyo Lebron mzee??

Alafu mnasingizia majeruhi only on finals ila mbona mlipowasweep Hawks hamkusema mna majeruhi??

U were once 2-1 going to game 4 at your court... Kutoka hapo Warriors wakawasoma mkapokea kichapo cha game 3 straight mbili zikiwa hapo hapo mbele ya mashabiki wenu..

Isitoshe Christmas mkaja kwa hasira ya kuonyesha dunia kwamba majeruhi ndiyo yaliwapa Warriors ubingwa ila mkaambulia kichapo pale Oracle wakati huo Barnes na Bogut wakiwa nje hawachezi... Mkasema Kyrie hakuwa fit tusubiri rematch hapo kwenu.. Rematch mkapigwa kwa 30 hapo hapo kwenu Kyrie, Bron na Love wakiwa wazima kabisa wakati Warriors walikuwa na majeruhi ya Iggy.. Bron anaweza asizuilike kama unavyosema lakini one man can't win a series..

On finals Delly alifanya kazi ambayo Kyrie hataweza kuifanya kama tutakutana kwenye series hizi.. Na ndio maana hata game ya Oracle ambayo Delly alicheza zaidi mlipigwa kwa point 6 tu lakini ile ambayo mlitaka Kyrie acheze sana mkaambulia kupigwa kwa 30..
 
shaurimbaya majibu tafadhari...
 
teh teh teh teh teh hawezi kuonekana hapa Mzee... Amesahau ya last season walianza hivi kwenye series ila walichokutana nacho hawakielewi mpaka leo..
Umekuwa mzee wa historia kama Mag3 ya msimu uliopita yashapita...sasa tunaongelea ya msimu hii. Umesahau msimu uliopita GSW hawakuvunja rekodi ya Chicago Bulls? Sasa ukishikilia historia sijui itakuwaje!
 
Umekuwa mzee wa historia kama Mag3 ya msimu uliopita yashapita...sasa tunaongelea ya msimu hii. Umesahau msimu uliopita GSW hawakuvunja rekodi ya Chicago Bulls? Sasa ukishikilia historia sijui itakuwaje!
Hata hiyo record ya Chicago ni historia mkuu.. Sasa kama isingekuwa ni historia sijui tungeivunjaje..

Hata wewe ikiendesha gari yako kwenda kazini huwa unatumia side mirrors kinachojiri huko nyuma yako.. Sasa sijui kwanini unataka tubeze historia angali wewe na timu yako ya Manchester kwa sasa unaishi kwa historia tu..
 
Ha ha ha! Sawa bana...ngoja tuone...
NB: Man United tunamaliza msimu na kombe la FA.
 
Ha ha ha! Sawa bana...ngoja tuone...
NB: Man United tunamaliza msimu na kombe la FA.
teh teh teh teh futeni ukame maana hatukuzoea kumaliza season bila kikombe ila hii ya sasa imepita kama misimu mitatu patupu..
 

shaurimbaya, je unakumbuka msimu uliopita bingwa wa EC alikuwa Nani? Je unakumbuka jinsi huyo bingwa alivyochapwa na CAVS kwenye playoffs 4-0? Je wakati huo Kyrie na Love walicheza?

Je unakumbuka majigambo ya LBJ baada ya hapo alipodai wako imara wakiisubiri GSW kwenye fainali? Je unakumbuka majigambo ya kocha wa CAVS baada ya kuifunga GSW Oracle?

Je unakumbuka majigambo ya LBJ baada ya kuifunga GSW Quicken Arena na kuongoza 2-1? Je unakumbuka matokeo ya mchezo uliofuatia baada ya hapo? Mbona tu wepesi wa kusahau?

Je unakumbuka ni timu gani imekumbwa sana na majeruhi msimu huu? Je unajua ni timu gani imeweza kuweka rekodi mpya katika historia ya NBA? Je unajua ni timu moja tu imeweza kuzifunga timu zote kubwa zilizoshiriki?

Baada ya maswali hayo nakuachia kama mwana spoti uamue mwenyewe. Usiachie ushabiki ukuzibe macho na masikio. Wapo waliofanya hivyo msimu uliopita na siku hizi wanaona aibu hata kuchangia uzi huu[emoji34][emoji34][emoji34]!!!
 
teh teh teh teh Nyani kaingia mitini teh teh teh...

Ila rafiki yangu Raimundo ana roho ngumu mno...

Bwana Nzi angalia msimu ujao usije ukaingia wewe mitini..
 
Umekuwa mzee wa historia kama Mag3 ya msimu uliopita yashapita...sasa tunaongelea ya msimu hii. Umesahau msimu uliopita GSW hawakuvunja rekodi ya Chicago Bulls? Sasa ukishikilia historia sijui itakuwaje!
Duh Nzi, yamekuwa hayo tena! Huko Jukwaa la Siasa, kuna watu bado wanamuongelea Lowassa kwa mambo anayodaiwa kuyatenda miaka kumi iliyopita akiwa yuko CCM. Wanasahau kaiacha CCM kwenye mataa na sasa yuko mtaa wa pili, kaachana na genge la wezi. Lakini hayo tuyaache turudi kwenye NBA 2015-2016, sawa?

Kwa hiyo unatuasa tuachane na msimu uliopita lakini hapo hapo unatukumbusha ya GSW kushindwa kuvunja rekodi ya Bulls, really? Unasahau kwa sasa hamna tena cha rekodi ya Bulls, rekodi imehamia mtaa wa pili, je upo? Najua inavyokuwa vigumu kweli kukiri NBA imepata stars wapya, stars wanaofanya kweli toka msimu uanze!

Ajabu ni kwamba hayo wanayoyafanya mko tayari kuyafumbia macho kwa ushabiki tu kwa zilipendwa, mnashindwa kukiri kwamba they are the new boys in town! CAVS hivi sasa inapambana na timu ile ile iliyoifunga 4-0 msimu uliopita, whats the big deal? Oops, samahani nimejisahau...naona nimerudi tena kwenye historia.

Nawatakia kila la heri...angalau kwa kutungua tatu tatu 25 na kuweka rekodi mpya, thanks to Steph Curry; kaweka yardstick na sasa every wannabee anataka naye aonekane, not bad at all. Juzi nimemuona hata LaBron naye akijitutumua, oh yes alitungua sijui ngapi vile, 4 duh! Taratibu atafika tu, tumpe muda ha ha haa!
 
sijakimbia wadau.. lets wait playoffs zinaendelea. nina imani warriors na cavaliers watakutana finals tena... wote wakiwa healthy so tutajua nani mkali..

na game mojawapo naomba nikuinvite tuchek wote geto kwangu especially game 4 au 5 ambayo timu mojawapo ikiwa ina close series..


tukiacha nba huwa mna attend b ball kitaa ya tanzania gymkana???

teh teh teh teh Nyani kaingia mitini teh teh teh...

Ila rafiki yangu Raimundo ana roho ngumu mno...

Bwana Nzi angalia msimu ujao usije ukaingia wewe mitini..
 
teh teh teh hiyo itakuwa vyema... Nitafungua champagne hapo tukinyakuwa ubingwa pale Oracle ndani ya game 5..

I've been busy recently hiyo b ball kitaa sikuweza ku'attend ila niliona madogo wakipiga dunk za hatari.. Hiyo ligi itaanza lini??
 
21 3 pointers made
FT Cavs 121 Hawks 108
Cavs lead the series 3-0
Frye was on today
 
21 3 pointers made
FT Cavs 121 Hawks 108
Cavs lead the series 3-0
Frye was on today
Good for them, I'll watch the whole match tonight. Like I said before, 3-pointers has now become the fashion of Basketball and not bull-dozing opponents...I hope he did that tonight, thanks.
 
teh teh teh teh Nyani kaingia mitini teh teh teh...

Ila rafiki yangu Raimundo ana roho ngumu mno...

Bwana Nzi angalia msimu ujao usije ukaingia wewe mitini..

Katika kipindi chote nilichomfaham LBJ akiwa Cavs (kabla na baada ya Miami), this time ana watu anaoweza kurely kwao, anaamini shots zao.

Kitu ambacho naendelea kukisisitiza ni kimoja tu, GSW hawatakaa wamfunge Cavs msimu huu kwenye finals, kamwe! Nitajitolea kumlipia mtu upremium membership wa JF ikitokea GSW wakiingia finals na kumfunga Cavs.

Na uzuri wenyewe moja ya vitu vilivyowapa ubingwa mwaka huu havipo (majeruhi ya wapinzani). Mmeifunga Cavs isiyo na KL na KI ambao ni key components wa timu lakini bado hamkubali kwamba mlifunga timu yenye majeruhi.

Ngoja niangalie game ya SAS vs OKC, probably hawa ndo naenda kukutana nao finals.
 
Hii vuta nikuvute mpaka dakika ya mwisho leo kati ya SAS na OKC.
 
Turnovers turnovers turnovers very costly for OKC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…