teh teh teh teh SKRUDA anawakimbiza hivi mpaka mnakimbilia TO ndio mnataka mcheze na Warriors... Haki mtapata kichapo kisicho cha kawaida teh teh teh
Kweli kawakimbiza hadi kapitiliza...matokeo yake kaipeleka timu yake likizoteh teh teh teh SKRUDA anawakimbiza hivi mpaka mnakimbilia TO ndio mnataka mcheze na Warriors... Haki mtapata kichapo kisicho cha kawaida teh teh teh
The King did a Curry and was about to choke... Skruda kazingua huyu dogo teh tehGoal tending violation man, we got the score count
Mkaamua kumkamata dogo asiwapige bucket ya kufutia machozi..Kweli kawakimbiza hadi kapitiliza...matokeo yake kaipeleka timu yake likizo
The King did a Curry and was about to choke... Skruda kazingua huyu dogo teh teh
Wakaamua kumdaka tu teh teh teh ila dogo kazingua ile alitakiwa ampe hata Millsap tu..Halafu kacheza nyingi za hivyo wanamwachia, hii ya mwisho jamaa wakaona liwalo na liwe.
Hongereni naona somo linazidi kuingia, je uliona ya Blazers jana wakiisulubu Warriors? Nilisema toka awali kwamba legacy atakayoiacha Steph Curry ni hilo la tatu tatu. Basketball inazidi kuevolve na mambo yanavyokwenda si ajabu michezo mingi ijayo itaamuliwa kwa vikapu toka mtaa wa pili.Mag3 umeona rekodi ya Cavs? 20+ 3 pointers katika games 3 mfululizo. #NBARecord
Bado kazi mnayo, nilisema toka mwanzo hao ni wateja wenuWe are looking ahead for a sweep!
Wakaamua kumdaka tu teh teh teh ila dogo kazingua ile alitakiwa ampe hata Millsap tu..
Ila kama huyu dogo kawatesa hivi mjiandae na mtanange wa Lowry na DeRozan..
Ila ujue tu Indiana si wachovu... Hata nyie mngekutana na Indiana msingekuwa na mteremko kama huu..Wale wachovu kwenye Playoffs, hata game ya Indiana waliteseka sana. Ingawa wanaongoza series ya Miami lakini nina uhakika series bado changa.
Tangia Play Offs zimeanza sikuwahi kuangalia game za Cavs zaidi ya highlights.. Ila jana nimeangalia game yao mwanzo mpaka mwisho.. Honestly kama ndio wanacheza vile hawawezi kuzifunga Spurs na Warriors kwenye series.. Na hata OKC wangeweza kwenda nao mpaka game 7..Anyway, anyone, I repeat anyone ambaye anaona Cavs can't be a threat with the rhythm they're in now with those big 4's having their best performances haeshimu mchezo huu wa basketball.
Ninachojua tu ni kuwa kitakachowaua Cavs Inawezekana kabisa ni kurelax huku na kuamini kuwa they've got the money. Warriors are good in defending in all positions and have height isipokuwa kwa Curry peke yake, kama watapita.
HMpaka sasa series ambazo zitakuwa competitive kwenye hii round ni SAS vs OKC na Miami vs Toronto, huku kwingine naona kama washindi wameshashinda.
ATL inabidi wapate hata game moja kule kwao hasa hasa game 3, vinginevyo itawavunja moyo na wanaweza kusambaratisha timu kama Miami ya LBJ ilivyowasambaratisha Indiana. Bila kusahau kufukuzwa kazi kwa coach wa Bulls.
We are looking ahead for a sweep!
Anastahili...one reaps what one sows, tatizo ni kwamba ingawa ni unanimous wako wachache hawatapenda...imekula kwaoπππ!!!Habari zilizovunjikavunjika kutoka ESPN ni Stephen Curry kutangazwa NBA MVP this week... Back to Back
Anastahili...one reaps what one sows, tatizo ni kwamba ingawa ni unanimous wako wachache hawatapenda...imekula kwaoπππ!!!
Ingawa yeye siyo MVP kwenye timu yake! Maajabu haya! Yaani anakuwa NBA's MVP wakati kwenye timu kuna MVP mwingine! Au unaonaje mzee?Anastahili...one reaps what one sows, tatizo ni kwamba ingawa ni unanimous wako wachache hawatapenda...imekula kwaoπππ!!!
Mbona unaanza kulialia ndugu yangu? Unakuwa kama wale jamaa...game mbona bado sana?NILISEMA HUMU HAWA BLAZERS BILA CURRY HIZI SERIES ZITAKUWA NGUMU KWETU...
LEO WANATUPIGA KAMA UNDERDOGS VILE TEH TEH TEH TEH 21-5..
ZILE GAME MBILI PALE NYUMBANI TULIWABAHATISHA TU NA HAWAKUWA NA CONFIDENCE..