NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Lakini unamuona Portland anavyojikakamua kwa hizo tatu tatu? Hawa vijana baadaye watakuwa hatari...

Hongereni kuingia Finals, Portland wanaweza kuja kuwa wazuri soon wasipoanza kuoneana wivu, Damy ni aina ya watu wasiopenda kuwe na star zaidi yake kwenye timu, kitu ambacho ni kigumu kwenye ligi hii na kinasumbua sana chemistry ya timu.

Unaweza kuona ni jinsi gani OKC wameshindwa kung'ara kwa sababu za umimi, kwa walivyokuwa ilikuwa wawe wameshakuwa Mabingwa kabla ya GSW. GSW kila mchezaji anacheza kwa ajili ya timu, kitu ambacho sikioni kikija kutokea kwa hawa Portland.
 
Naona Warriors wame-prevail 4-1 lakini Portland wametoa upinzani wa nguvu kweli kweli...Go Warriors go!

Hongereni mazee, nafikiri Curry angecheza game zote mngewa-sweep madogo wale.

Kuna kila dalili za kukutana na OKC final zenu kabla hamjaangukia mikononi kwetu.
 
Hongereni mazee, nafikiri Curry angecheza game zote mngewa-sweep madogo wale.

Kuna kila dalili za kukutana na OKC final zenu kabla hamjaangukia mikononi kwetu.
I would rather see A ''Spurs vs Cavs'' Final Than An ''OKC vs Cavs'' if you know what I mean..............
 
Wakuu Mag3 na Raimundo mpo? Msiikose hii game ya leo.
Nilichelewa kidogo lakini nimeona tokea Q2 katikati...duh, OKC ilikuwa imechachamaa kweli kweli ila sasa naona SPURS kama vile wanapata nguvu kidogo...72-47!
 
Reactions: BAK
Wanaweza kupunguza gap iliyopo lakini sidhani kama wanaweza kushinda, wameachwa mbali sana. Nadhani huu ndiyo utakuwa mchezo wa mwisho wa legend Tim Duncan.

Kwa rekodi ya OKC nadhani safari hii hawatachezea shilingi chooni...94-77 na bado dakika saba!
 
Masikini Pop, hawezi kuamini! Sijui atang'atuka baada ya leo. OKC mmejitakia, GSW inawasubiri kwa hamu kubwaaaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…