Nawasubiri waliosema timu yao itakutana na Spurs kwenye finals teh teh teh teh teh teh
The end of old timers' Era...Its definitely time for them ''senior citizens'' to hang up the boots...We thank them for their service.Nawasubiri waliosema timu yao itakutana na Spurs kwenye finals teh teh teh teh teh teh
The end of old timers' Era...Its definitely time for them ''senior citizens'' to hang up the boots...We thank them for their service.
Game nimeikosa hii, pole kwao SPURS. Watu wengi tulibank kwao kukutana na GSW finals, ila ndo basi tena.
Kobe dominance has gone, Spurs dominance has gone, Lebron still rules the East not NBA.. It's the new era.. Curry and Warriors will dominate for some years from now.. OKC and Blazers will be the teams to watch as well..The end of old timers' Era...Its definitely time for them ''senior citizens'' to hang up the boots...We thank them for their service.
Kobe dominance has gone, Spurs dominance has gone, Lebron still rules the East not NBA.. It's the new era.. Curry and Warriors will dominate for some years from now.. OKC and Blazers will be the teams to watch as well..
Tulikuwa tunaaminishwa hapa kwamba Spurs wakifika Play Offs ndio wanaanza kucheza.. teh teh teh teh
Naafiki Portland Trail Blazers ni timu ya kuangalia sana msimu ujao kwa namna walivyocheza Playoffs dhidi ya GSW, walitisha...wana vijana hatari kweli kweli.Uzee umewacost they need to revamp their team next year, but watch out for Portland Blazers I was so impressed by their tenacity.
Be careful what you wish for, you might just get it! Mashabiki wa CAVS mlitaka revenge, haya sasa...hakikisheni tu hamtolewi huko East, GSW wanawasubiri finals kama mtavuka.Niliwahi kusema hawa wazee ndo wazuri kukutana nao, sasa wameondoka dah.
Be careful what you wish for, you might just get it! Mashabiki wa CAVS mlitaka revenge, haya sasa...hakikisheni tu hamtolewi huko East, GSW wanawasubiri finals kama mtavuka.
Ni lini nimeacha kuwa na confidence? Ni kweli wapo waliohama kabisa jukwaa ingawa naambiwa wanachungulia tu kwa mbaaali. Pamoja na GSW kusambaratisha mipango ya wengi mwaka jana, ajabu bao mpo wachache hamjakiri kwamba hao vijana ni moto wa kuotea mbali. Safari hii sijui excuse zipi zitakazotolewa...ngoja nianze kuzitafuta.Mkuu siku hizi una confidence, safi sana. Maana kuna watu wanaogopa kutaja timu zipi wanazitabiria kwa sababu ya kuogopa kuchekwa zikishindwa.
Malizeni kibarua cha OKC, maana kitakuwa kibarua kigumu kweli kweli. Tutakutana tu.
Okey dokeyKama Toronto Raptor watakaza Cleveland Cavaliers wajiandae kufungasha virago
Kama Toronto Raptor watakaza Cleveland Cavaliers wajiandae kufungasha virago