NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Draymond might not play on game 4... He has 2 Fragrant Fouls this post season.. He also intentionally kick Adams game 2 at Oracle..

This series is over.. Watashinda hii na watashinda game 4... Till next season, mimi sitaonekana tena hapa.
Acha uoga, it's not over until the Fat Lady sings.
 
Honestly...there's nothing hidden.

Mbona waliposhindwa na Rockets na Blazers hukuniona?

Au zile losses hazihesabiki na zinazohesabika ni za OKC tu?

Unajua zile zilikuwa za bahati mbaya tu, na katika mwono wa kawaida unajua GSW atashinda series.

Hizi za OKC zinavutia kwa sababu kuna dalili za OKC kusumbua sana ikibidi kuwatoa kabisa.

Sijacheki Vegas wanasemaje, lakini reasonably series atakuwa favored OKC mpaka sasa.
 
Hii game ijayo itakuwa tamu sana kwa OKC kutaka kuhakikisha kwamba GSW hawaichukuwi tena home court advantage huku GSW wakitaka kututhibitishia wapenzi wa BB ubora wa timu yao. Tuisubiri hiyo game Mkuu.

Nasubiri kumsikia Stephen A Smith kwenye First Take, maana alishawasweep OKC mapema kabisa.
 
Reactions: BAK
Is it the end for the amaizing warriors?
Can they fight back?
 
Hahahahaha lol! This is very bold Mkuu.

It's true they are done.

Ukiangalia mwaka jana wakati wanachukua ubingwa series zote walikutana either timu mbovu au yenye majeruhi, hawakuwahi kukutana na timu yenye kuwabadilikia badilikia kama hii ya OKC, KD na RW wanataka kurudisha heshima waliyoipoteza kwa GSW. Tayari DRaymond Green kashapatiwa dawa (Adams).

Game zote zilizopita, OKC wanaongoza kwa rebounds na ndiyo kitakuwa kigezo kikubwa cha kuwaondoa GSW. Niko very sure kwamba OKC wanashinda hii series. Na ikitokea Green akasimamishwa game 1 (kitu ambacho najua ni ngumu) basi game 4 wanapigwa kirahisi zaidi.
 
You believe for 2016/2017 season....it is always a good idea to keep on dreaming. 🙂

you nailed it..................

(japo kicheko cha dhihaka....its all good anyway)
 
Mag3 huko US hamjaamka ili mtujulishe kama DRaymond Green anakuwa suspended au anapendelewe kubaki game 4.
Duh, naona mengi yameandikwa nikiwa usingizini lakini hii yako imetia fora...lakini kwa nini Green awe suspended? Kwa nini Green apendelewe? Toka lini umeona wachezaji wa GSW wakipendelewa? FT Warriors walipewa nne wakati OKC walipewa 23, je huko ni kupendelewa? Hata hivyo silalamiki ila nashangaa tu...ukiona Curry anavyovutwa na kusukumwa hata akiwa hana mpira unaweza ukakosa hamu! Lakini hayo tuyaache, kama kuna mtu ataamua kum-suspend Draymond hakika nitashangaa zaidi.

Pamoja na hayo nafurahi kuwaona washabiki wa OKC wakijitokeza moja baada ya mwingine na naomba tuendelee kujumuika humu ndani hata kama timu yako inafungwa, ni mchezo tu. Leo ni game namba nne EC na kesho ni WC, naomba tukutane hapa kama tulivyofanya GSW walipofungwa jana. Wapo watu nilishawasahau kwamba ni wapenzi wa Basketball hadi jana walipojitokeza, karibuni sana tu. Matokeo ya leo na kesho yatatupa picha kamili mwelekeo ingawa kwa Raimundo kazi kwisha, ha ha haaa...!
 

Mkuu vita ni vita.
 

cc Mag3
 
Be careful what you wish for, you might just get it! Mashabiki wa CAVS mlitaka revenge, haya sasa...hakikisheni tu hamtolewi huko East, GSW wanawasubiri finals kama mtavuka.

Yaani hapa napitia comment za nyuma nacheka sana, eti GSW watakuwa wanatusubiri!

Na bado kipigo cha game 4 sasa mpoteane kabisa.
 

Nyingine hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…