NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Dwane Casey... This man has always been a ninja kwenye defense. Kitendo cha kumkosa Valuncianis naona kilimtesa sana mpaka kushift defense yake kwa Biyombo.

So far jamaa kawa kama Diego Simeone kwenye football Kocha wa Atletico Madrid. Anakabia nje ya uwanja hakai chini. Yaani kuna Muda Jr. Smith nadhani anapigwa defense na Demar Caroll jamaa naye huku anadefend nje.

Anyway Raptor are difficult to beat pale home hasa siku Ambayo Champagnepapi (Drake) akishaanzisha stunts kwenye social networks.

Ninahisi series ya mwaka huu kuna upande itakuwa na surprise kubwa.

At last when Kyle Lowry plays, Toronto also plays. When Kyle Lowry beats you, Toronto beats you. Huyu jamaa bana nahisi ni muhimu kwa Toronto kuliko Curry alivyokuwa muhimu kwa Warriors.

Nimesahau zile rekodi za 3 pointers za Cavs tayari. Zilishanistua. Mpaka J.r. Smith akasema yeye anajifunza kupitia 2K.
 
.....

Ila nyie leo nitakaa kifitna mkipigwa tu series imeisha.
fitina titi la paka.......halifai kwa mtindi...
#wishful thinking.never underestimate the heart of a champion
 
Reactions: BAK

Nikiacha hizi tabiri maana yake hata ushabiki naacha, kwa sababu wakati mwingine game unakuwa hyped na utabiri mtu uliojiwekea. Isipotokea siyo issue.

Mi siyo mtu wa kuogopa kuchagua timu eti kisa ikifungwa watu watanicheka, nasubiri timu ishinde ndo niseme hiyo ndiyo naishabikia, no.

Mwisho wa siku sisi ni mashabiki tu maamuzi wanayafanya walioko uwanjani.
 
Hahaha hapa ndipo nnapochekaga. Mbona sisi Dubs tunakujaga huku hata tukifungwa ile ya aibu.

Af nakumbuka kuna mtu alisema hawa Raptors wakifukutuka sana labda game moja tu. Hivi ni nani? Jeh yuko hapa leo?
hahaha 'Adui mwombee njaa...atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa'
 
I'm pulling for a Thunder vs Raptors finals.

I think that'd be so refreshing.
I for one will be pleased to see different faces in that landscape. The Davids will be left to slay each other while the Goliaths will be somewhere healing their head wounds. All for all I'll always be here to give my thoughts on the games na kuamsha uzi wetu.
 
BREAKING: NBA won't suspend Draymond Green for kicking Steven Adams in the groin.

The league will fine Green $25,000 and elevate the flagrant 1 foul to a flagrant 2.
 
Raptors wanachelewesha kuchinjwa tu, ila kichwa tayari kipo kibra...
 
The warriors are not themselves seriously. And the thunder are on their best 200% forms. . Westbrook hitting those threes? No man.

Anyway Warriors should understand that Green is half dead now. The calls are not coming is way. And the whole team lacks motivation.

The thunder are getting into Curry because the other players are very quite. Klay Thompson has to step up
 
Kaka Thunder wameibana sana GSW hii first half...
By the time unakuja jamvini sijui utakuta Thunder ana lead by how much...
Leo nimebanwa kidogo sitaweza kushiriki katika kutoa ripoti hadi baada ya HT kama nitaweza. Hata hivyo nazitakia timu zote mbili kila la kheri...may the better prepared team win!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…