NBA Season 2015 - 2016: Special thread

I don't think you'd be able to climb this mountain tonight.
Yeah, I have patiently watched the way GSW is playing and I must admit so far I am not impressed, not impressed at all. They deserve to lose unless they can come up with that magic touch. Steph Curry is disappointing, disappointing indeed!
 
Turnovers zimewagharimu sana OKC kwenye regular season na hata baadhi ya mechi kwenye playoffs. Wakiweza kucheza hivi at least one more game then there will be a new NBA Champion in 2015/2016 season.

Yeah jamaa wamebadilika sana na pia ule ugonjwa wao wa turnovers wameupunguza kiasi...
 
Kaka mimi nahisi hizi ndizo sababu za GSW kuwa hivi:
1. Curry hayupo katika kiwango chake...
2. Game za Portland mlitumia nguvu nyingi mno...
3. GSW haina plan B...
4. GSW haijazoea kuzidiwa...
Okay I admit we have been overplayed...1-3!
 
Kaka mimi nahisi hizi ndizo sababu za GSW kuwa hivi:
1. Curry hayupo katika kiwango chake...
2. Game za Portland mlitumia nguvu nyingi mno...
3. GSW haina plan B...
4. GSW haijazoea kuzidiwa...
Sababu nyingine, waliwekeza sana kwenye kuvunja rekodi ya 73-9 sasa namsubiri Green na trash talks zake....
Kwa mara nyingine RW kamuonyesha Chicken Curry kwamba yeye ni best PG kuliko C. Curry
 
Duh, leo sina cha kuandika zaidi ya kuwapa pole Mag3, King Shaat, Tyta, Steph Curry, Alegria do povo na GSW wengine.

Karibuni kuishangilia Toronto Raptors.

Nimemaliza wapendwa.
Wazee wa historia...wana kamsemo kao ati GSW haifungwi back-to-back...sasa wasipoangalia watapigwa games 3 mfululizo...huyo Steph Curry mwoga ka nini, keshakimbia sasa...
Naamini matumaini yao sasa wanayaweka kwa Raptors ili wapate faraja
 
GSW kwenye hii series imerudi kuwa ile GSW ya miaka miwili iliyopita, a wee NBA team...na kama wakitolewa, basi watadhiirisha wali-fluke mwaka jana na kwamba wasingeweza kuwafunga a healthy Cavs...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…