NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Kuna timu kadhaa ambazo zinakuja kwa kasi - Orlando Magic, Detroit Pistons, Utah Jazz, Boston Celtics, na Charlotte Hornets....na kwa mbali Milwaukee Bucks.....

Hizo timu zitakuja kusumbua ligi ya NBA miaka michache ijayo.

Bila kuwasahau Minnesota Timberwolves.
 
Ina maana watu hata hii game hawako wanaiangalia!

Dah, ngoja tuone hawa Toronto watakaza vipi kule kwao.
 
Ina maana watu hata hii game hawako wanaiangalia!

Dah, ngoja tuone hawa Toronto watakaza vipi kule kwao.
Ndiyo na mimi nimeikuta 3rd qtr...hii blowout ya hatari....sema hawa Raptors wakiwa kwao wabishi...lakini game 6 watakubali tu..
 
Kuna mtu humu alisema kocha wa Raptors ni master wa defence! Naona pengine alimaanisha wakiwa kwao...maana kwa blowout hii, huo u-master wake wa defence unakuwa kituko!!
 
Nasikia hao CAVs wana hasira kweli kweli baada ya kupewa kichapo cha mbwa mwizi na GSW...that was early this year!
 
Nasikia hao CAVs wana hasira kweli kweli baada ya kupewa kichapo cha mbwa mwizi na GSW...that was early this year!
Mbwa mwizi yupo down 3-1 kule western conference
 
Nasikia hao CAVs wana hasira kweli kweli baada ya kupewa kichapo cha mbwa mwizi na GSW...that was early this year!

Hawa hawako relevant tena kwenye hizi series, au ndo mmejifungisha ili msikutane na LBJ!
 
Ina maana watu hata hii game hawako wanaiangalia!

Dah, ngoja tuone hawa Toronto watakaza vipi kule kwao.

I mean...seriously?

Who in their right frame of mind would sit through such a shellacking?

Folks like suspense and that's why I think the GSW vs OKC Thunder series is much more intriguing than the CAVS vs Raptors one whose outcome is pretty much a foregone conclusion.

That Western finals' series ain't done just yet despite the defending champs being in a hole deeper than they've ever been since their arrival.

For my money, if there's a team capable of digging itself out of such a hole then it's the GSW, but I'm also cognizant of what a herculean task that would be.

That's why I think these Western finals have more pizzazz than the Eastern ones.

Plus, if the OKC Thunder run the Warriors out of town they would have managed to eliminate the top two seeds of this season. That would be no mean feat. A storyline on itself.

Has it even ever happened before?
 
Kuna timu kadhaa ambazo zinakuja kwa kasi - Orlando Magic, Detroit Pistons, Utah Jazz, Boston Celtics, na Charlotte Hornets....na kwa mbali Milwaukee Bucks.....

Hizo timu zitakuja kusumbua ligi ya NBA miaka michache ijayo.
Timu za Kusumbua ni jambo la kawaida... most of all huwa hazina uwezo wa kuwa mabingwa... Timu za Mabingwa huwa ni timu zenye Mipango maridadi huwa zinafanya mipango ya kuzizorotesha kwa kuwachomolea wachezaji wazuri au kuandaa watu wawaumize kwenye Game yaani mipango ya kifitina lukuki ikiwemo na kamali n.k Timu za kawaida zikibahatisha ubingwa basi huwa season moja au mbili kisha zinapotea... ndio maana Watu hupenda timu zile Giant huwa zinawafanya watu wawe wanasuuzika mioyoni mara Nyingi... hizi fitina zipo kwenye michezo mingi... Tumekuja kugundua hata Kenya kwenye riadha majigambo yote kumbe walikuwa wanatumia Madawa... ila walipata sifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…