NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Leo siongei, nasubiri nimsikie Raimundo anatoa excuse gani Leo. Nzi namsamehe, najua anavyoumia...hata hivyo nampa pole. Juzi nimewaambia kuwa CAVS kwa GSW? Mmmh Ni kama kumsukuma mlevi. Ngojeni game 2, the splash brothers washushe mvua!
Tulisema hapa Cavs hii ya Love na Kyrie ni burden.. No defense and their offense isn't any closer to the Warriors... Kama tumeweza kuzifunga timu zenye defense nzuri kama Spurs na OKC kwenye regular na mpaka kwenye Play offs kumsimamisha OKC mwenye offense nzuri kuliko Cavs ndio wawe hawa??

Walijivunjia record ya 3's against Hawks kwa kupiga 3, 21 nyingine 25.. Yaani series nzima ya Hawks waliavarage more than 17 3 pointers.. What a weak defense?? Hivi kweli unafananisha offense ya yule dogo Skrudaa na Lillard na CJ?? Unafananisha offense ya Lowry na Demar na ya Russ na KD?? Walilala kuzifunga vibonde mwishowe ndio haya ya huku.. Bench tu limewapa kichapo kizito..
 
Cavs wajaribu kushinda walau game1 ili wasiwe swept ila kushinda championship wasahau. Cavs wamepumzika karibu week wakati gsw wamepumzika siku kadhaa tu ila gsw wamepiga kazi.
 
Cavs wajaribu kushinda walau game1 ili wasiwe swept ila kushinda championship wasahau. Cavs wamepumzika karibu week wakati gsw wamepumzika siku kadhaa tu ila gsw wamepiga kazi.
It's time for Lebron, CP3, Wade and Mello to gang up on one franchise... There is no way for Lebron to win another ring, haitakaa itokee labda wakubali a pay cut kwa misimu angalau miwili ndio waje kupambana na hii Warriors.. Lebron na vichezaji vya East vyote hakuna wa kumsimamisha Warriors kwenye series, wala hii OKC assuming KD akibaki, wala Spurs..
 
I couldn't agree more
 
Hahaha sasa hii inahusika vipi na uzi au hizi Finals? Au ndo kule "He's nothing I haven't seen"?!. Just with the light touch ka my bruvs in here wanavyosemaga.
 
Hahaha sasa hii inahusika vipi na uzi au hizi Finals? Au ndo kule "He's nothing I haven't seen"?!. Just with the light touch ka my bruvs in here wanavyosemaga.
Hii ni forums ya NBA anything related to the NBA games, players, style etc kinaletwa hapa.
 
Today's Game Plan was so perfect that Next Game the Cavs will focus on the bench and Steph & Klay will take off.
 
Huu uzi ghafla umekuwa na wachangiaji wapya wengi sana. Bahati mbaya wanapotea kila baada ya mchezo.

Siku mbili zilizopita nimewaona wengi kupindukia
Hahaha bruv, hawa wote (natanguliza samahani) naona wana tendencies za kuwa opportunists. Yan GSW akipigwa tu ndo utasikia uzi una watu wapya.
 
I see the golden state warriors has been a bunch of undefeatable dudes .

Someone said the guys has got an ability of mastering the art of comeback .that's the way they do.

Hope they will endure to strengthening their numbers .This is their era.

Someone said that"it's not over until the fat lady sings" hahahahhahahaha[emoji23] [emoji23]

The dubs nation vs the cavs village is like the then ROMA empire against Thrace .

The shadow of the "warriors" is too vast[emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…