NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Duh...CAVs wamebadilika sana game hii na ile game 5...
Hawajabadilika chochote cha kuitishia Warriors mkuu... Kuna vi fitna tu... Curry kapewa 2 fouls za mapema kabisa amekaa nje quarter nzima ile.. Hichi anachokifanya Q 2 angekuwa yupo tangia Q 1 mambo yasingekuwa hivi.. Game 7 inatafutwa hapa
 
Kaka mi naona wamekuja na plan hii ya kumfanya Curry acheze defensive (kwenye pick and roll)...mwisho wa siku ndio zimetoa hizo fouls 3...

Halafu wakiwa wapo kwenye half yao, wamezuia zile easy 3's kwa Klay na Curry...
If Cavs can keep on playing like this for the remained Q's...no doubt there'll be game 7

Hawajabadilika chochote cha kuitishia Warriors mkuu... Kuna vi fitna tu... Curry kapewa 2 fouls za mapema kabisa amekaa nje quarter nzima ile.. Hichi anachokifanya Q 2 angekuwa yupo tangia Q 1 mambo yasingekuwa hivi.. Game 7 inatafutwa hapa
 
Hawajabadilika chochote cha kuitishia Warriors mkuu... Kuna vi fitna tu... Curry kapewa 2 fouls za mapema kabisa amekaa nje quarter nzima ile.. Hichi anachokifanya Q 2 angekuwa yupo tangia Q 1 mambo yasingekuwa hivi.. Game 7 inatafutwa hapa
Warriors hawana ubavu wa kuishinda tena Cavs...hata game 7 watapigwa tu
 
And kama kutatokea Game 7 atakayecheza kwenye tension kubwa ni Gs, hawa Cleveland wakija Oracle watafungulia bunduki zao zote, watacheza mchezo wa kihuni ili mradi tu kuwapanikisha Warriors...

Lakini Je, Warriors wanaweza kupoteza game 3 mfululizo??
 
sifahamu lolote kuhusu basketball...
lakin hii timu ya GSW imenifanya nianze kufuatilia huu mchezo...
nilianza kuangalia game walizocheza na OKC kwenye playoffs...
lakin tangu nimeanza kuchek(hasa kwenye hii game na cavs) nimegundua kama ni mchezo fulani ambao unaongoza kwa KUPANGA matokeo...
 
Hakuna anayeweza kudhibitisha hilo na wala halina ukweli wowote.. Kunaweza kukawa na fixing ila ni ndogo sana sio ambazo zinaathiri uwezo halisi wa timu..
 
warriors wamebebwa sana....uwezo wao mdogo ni timu inayopaishwa na vyombo vya habari
teh teh teh teh kama umebet alafu unaona dalili za kuliwa hii game bora ulale tu sio kuja kutolea hasira zako hapa mkuu...
 
teh teh teh teh kama umebet alafu unaona dalili za kuliwa hii game bora ulale tu sio kuja kutolea hasira zako hapa mkuu...
mpaka sasa odds za wariors ni 15.5 cavs ni 1.071 huoni litimu lako lilivyo kimeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…