NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Silly mistakes si za kunyamazia.. Siwezi kumlaumu Barnes kwa kutofunga point hata moja leo au kumlaumu Ezeli kwa kucheza ovyo au kulaumu refs au chochote.. Lakini kwa silly mistakes kama zile lazima aambiwe ili huo ujinga aache.. Hajafanya hivyo mara moja ila ile ya kwanza sikuweza kumlaumu sababu ya tension yenyewe ya mchezo tulikuwa tumetangulia. Hii ya juzi tulikuwa tunaongoza points nyingi tu na bado tunaongoza series, hakuhitaji kufanya kile alichofanya.. Lebron was smart alijua akianzisha ugomvi na Dray hata wakipewe Fragrant moja moja, Dray will be banned ila yeye atakuwa free kucheza..
 
Kwa hiyo Bron alipo-drop 41 points kwenye game 5 infront of GSW's home fans, Iggy alikuwa wapi?
Game 5 green hakuwepo kusaidia, iggy akawa na jukumu zaidi ya Moja na baada ya injury ya bogut hali ikawa mbaya
 
teh teh teh leo ni kwamba wageni wengi au multiple ID's at work...

Na Game 7 mjae hivi kuanzia mwanzo basi..
 
teh teh teh leo ni kwamba wageni wengi au multiple ID's at work...

Na Game 7 mjae hivi kuanzia mwanzo basi..
Wewe tushakuzoea...hadi mwenzio wa GSW kakushtukia....ni aidha upo "overconfidence or overcowardness"

Ulisema leo GSW atashinda kwa blowout...leo unaanza kumlaumu Green kwa kosa lililopita...wakati huo ulisema "awepo au asiwepo Green GSW itashinda"...

#WeweJamaaNiKiboko
 
Sasa kwani braza nikiwa overconfidence or whatever kuna rules and regulations zinazosema fans wote tufanane tabia?? And do u think that I care?? Hell No.... Mimi nitamlaumu Green kwa kosa alilofanya kwasababu leo alitakiwa arekebishe lile kosa lake.. Na mwenyewe alikiri kwamba Game 5 tumepoteza kwa kuwa yeye hakuwepo, ni sawa... Sasa hii performance ya leo ndio nini kafanya?? Yaani hata Barbosa kacheza vizuri zaidi yake akitokea benchi..
 
King James amenifurahisha kweli sio kirahisi rahisi kuchukua ring kwenye home court ya cavs imeleta heshima wakuchukulie kwao! na labda maana cavs wanataka kuweka history timu ya kwanza kutoka 3-1 kuwin nba final lol!
 
Hongereni wapenzi wote wa CAVs, mmeonesha mchezo wa kiwango cha juu sana leo. Nadhani dai la ratings kuwa chini halitasikika tena. Nimeambiwa mchezo wa leo umevunja rekodi kwa watazamaji. Kwa mara ya pili CAVs wameweza kuifunga GSW back to back na bila shaka mchezo wa 7 utakuwa wa aina yake. Nazitakia kila la heri hizi timu mbili na may the better team win!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…