NBA Season 2015 - 2016: Special thread


Well...hata Draymond alimwita LeBron the 'B' word....
 
Sio siri kwa Mara ya kwanza nampa heshima Lebron James bila kumchukia tena tukimchukia tutakuwa Hater wabaya kurudi 3-1 si mchezo ukitegemea yy ndio kairudisha na Irving jamaa anadunda dah Uncle Drew! ni nomaa. sasa tusubiri MJmemes!
 
I salute you Bro thanks for being part of this excitement. It was something very special.

 
Nimeanza kufuatilia mpira wa kikapu kwenye play-offs za okc vs gsw(hapo MWANZO nilikua naona KIKAPU ni mchezo wa ajabu)...
toka hapo nikaanza kuISHABIKIA gsw...
lakini gsw tumepata KIPIGO dhidi ya cavs kwenye final games...
sijutii uamuzi wangu wa kuishabikia gsw...
kuanzia sasa nitakua nikiifuatilia zaidi gsw...
kwahiyo naomba WAPENZI wa mpira wa kikapu na MASHABIKI wa gsw mnipokee kwa mikono MIWILI..!
BILA KUSAHAU: pongezi nyingi ziende kwa mashabiki wa cavs, mlistahili mlichokipata..!
 
Happy Fathers Day dah huu utani unapita mpaka wapimguze Memes

Hahahaaaaaaa daaah....they are so wrong for that!

Yaani hapo ni kama wanamwuliza 'who's yo daddy'

Social media can be hell.
 
LOL! Hahahahahaha this will be the most popular tshirt in 2016.

Oh btw, Charles Barkley kapatia safari hii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Ama kweli huu ni msimu wa kuwek rekodi maana sikumbuki mara ya mwisho huyo jamaa kupatia chochote kile.
 
Karibu sana.. Muone Tyta akupe entrance ticket..
 
Hizi zama za social media acha kabisa yaani.

Nakumbuka walivyom-drag Cam Newton baada ya kushindwa kwenye Super Bowl.

Sasa Ayesha atakoma....alizidi kiherehere.

Mbona mwenzake Savanna [mke wa LeBron] huwa anauchuna tu...
na pale ndio nilipompa heshima Lebron James hana mashauzi hasa alivyokuwa anamtafuta Mkewe hajisikii wala sikumuona hata alivyokuwa anatafutwa yule sister du wa Curry angekuwa anarusha rusha makucha pale chini.
 
Huu kweli ulikuwa ni msimu wa rekodi!

GSt. ndo timu ya kwanza kushinda michezo 73 kwenye regular season.

Ndo timu ya kwanza kushindwa michezo 9 kwenye regular season na kushindwa 9 kwenye postseason.
 
Sell Curry
Sell Thompson
Mlete Durant
Mlete yyt avarage
Hawa wameleta tu aibu!Hawezi James akawa 3-1 akaja hadi kuchukua title tena kibaya zaidi games mbili anashindia kwako tena kibaya zaidi games ya 7 anakupigia kwako

Salute you King James
 
Yeah! Nadhani ni kwa mara ya kwanza, mlimzodoa sana hapa.

Oh btw, Charles Barkley kapatia safari hii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Ama kweli huu ni msimu wa kuwek rekodi maana sikumbuki mara ya mwisho huyo jamaa kupatia chochote kile.
 
MJmemes memes bila MJ no nah.
 

Attachments

  • image.jpeg
    53.2 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…