NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Pole yangu ikufikie popote ulipo.
Mkuu Raimundo wewe una moyo mgumu kweli. Binafsi baada ya game 2 niliingia mafichoni, sikuwa na uvumilivu Wa kusoma comments za wadau Wa GSW.

Fans kweli tumetofautiana. Hata kwenye mpira Simba na Yanga, timu yangu ya Simba inapokuwa inashambuliwa huwa nakimbilia kuzima radio kisha baada ya dakika chache nawasha kusikilizia matokeo.
 

Ha ha ha, nilikuwepo hapa kwa kujikaza sana mkuu.

Nakumbuka enzi hizo Simba na Yanga ilikuwa Simba akifungwa hata nijifiche watu watakuja tu home huku wanashangilia, baadae nikazoea kukomaa hivyo hivyo huku naugulia kwa kumpa hongera adui.

Ila siku ukimpatia adui na wewe inabidi umfanyie mbwembwe hadi akimbie.

BTW hawa madogo walikuwa wanaongea ovyo sana toka ligi imeanza mpaka leo tumewazima, safi sana.
 

The King escaped an upset.
 

Yaani we jamaa nikiziona hizi posts nafurahi sana, ushabiki bana, nimefurahi utadhani Cavs wananipa mgao wa ishindi wao.

Mkuu tupeane tu mikono ya fair play.
 


Hizi zilikuwa posts za April.
 
That is What If!

We let you win the regular season on record, no back to back on Kings expense.

Can you validate your claim?!?...........How are you going to secure four wins against a GSW Team,who are yet to have a back to back losing streak...?..I am curious..Hallucinating is neither a felony nor a misdemeanor 😀....

Claim validated.
 

Hilo linaeleweka, mbinu pekee ni kuwaacha record chasing iwachoshe, come playoff sisi tuko fit nyie mmechoka.

I'd say breaking the record keeps them motivated

On the other side yes! But fatigue is undefeated.

Please, you have now overuse that excuse!

Why couldn't the so called fatigue play its part last season? I respect opinions but some are so weird they leave me spellbound! Come on Raimundo, tell me you are joking!

Who gone stop them? Cavs alipigwa kwa 40points difference, spurs 30 hivyo Ni vipigo heavy havitii matumaini kabisa. Don't even mention useless thunder and clippers

Flashbacks
 
This man deserved it more than anyone else in the team.Looking on the stat sheet,utadhani B.Ball ni individual sport..

Sure, jamaa kapiga kazi sana, na msaada kaupata kutoka kwa KI sana.

Nadhani wale wote wana Cavs waliokuwa bado hawajamsamehe sasa watamsamehe.
 
Ha ha ha, nimeiona ile koment yako mkuu.

Ila wewe ni moja ya watu hata kama ulijua GSW watashinda, ilikuwa ni kwa sababu ya ubora wao ni si kwa sababu ulikuwa unawapenda.

Na kila mara GSW akipigwa ulikuwa lazima utokee hapa.

Conglats too.

Ni kweli na wala siyo siri.

Mimi ni mshabiki wa San Antonio na hiyo inajulikana wazi kwa wale ambao tokea zamani tumekuwa tukijadiliana mambo ya NBA Finals humu.

Pia, mimi siyo mpenzi wa CAVS ingawa nakubali kipaji cha LeBron. Kama ni mfuatiliaji humu utaona jinsi nilivyofurahi kipindi kile [2009] ambapo Cleveland walitolewa na Orlando Magic kwenye Eastern conference finals.

Siwachukii GSt. lakini nawakubali sana. Steph Curry ni namba nyingine kabisa. Klay Thompson naye ni moto wa kutoea mbali. Hushindi michezo 73 kati ya 82 kwa kubahatisha.

Hivyo, mimi kutokuwa mshabiki wa GSt. haimaanishi kuwa ni mshabiki wa CAVS na haimaanishi kuwa nawachukia [hao GSt.].
 
Yaani we jamaa nikiziona hizi posts nafurahi sana, ushabiki bana, nimefurahi utadhani Cavs wananipa mgao wa ishindi wao.

Mkuu tupeane tu mikono ya fair play.

Hahaaa...it's your day.

Savor it.

But just don't over do it.
 
Ila pamepooza kweli humu.

Ingetokea GSt. wangeshinda hayo masimango yake sasa....

Oh well...such is life though...you win some, you lose some.

Baada ya series kuwa 3-1 hali ilikuwa siyo yenyewe humu.

Ushabiki ndivyo ulivyo mkuu, siyo kila mara timu yako itashinda hata kama ni bora kiasi gani.
 
Baada ya series kuwa 3-1 hali ilikuwa siyo yenyewe humu.

Ushabiki ndivyo ulivyo mkuu, siyo kila mara timu yako itashinda hata kama ni bora kiasi gani.

Ila love him or hate him, nadhani LeBron kawanyamazisha haters sasa.

Hebu fikiria hili, mwaka jana bila ya Kyrie na Kevin, juhudi zake binafsi zilafanya series iwe ya kiushindani licha ya kwamba walishindwa.

Mwaka huu tumeona what he is capable of.

An all-time great individual perfomance.

I predict a major thoroughfare in Cleveland will be named after him at some point....
 
Hivi mzee wa kurusha mabega hayupo tena ESPN? SkipBayless na Smith wakianza ubishani wangempata na Chales Barkley

Skip mwisho wake ni leo au wiki hii halafu anahamia FOX Sports.

Inavyosemekana Max Kellerman ndo frontrunner wa kuijaza nafasi yake na huko aendako Shannon Sharpe ndo atakuwa partner wake.

#Embrace debate#
 
kama Lakers ss muda wakurudisha Jina Holywood please umefikia watengeneze timu Sijui wamvute Lebron James?? NBA tulifata sana Behewa la Warriors ila tuache utani kuna wanaojia NBA kama Charles Barkleys na Skipbayless walisema toka San Antonio walianza kuwapa tabu Warriors pale then watu tukasema OKC watapigwa 4-0 au 4-1 haikuwa hivyo Sasa kwa Cavs tulivyoona 3-1 over kumbe King kafanya Power 105 mtu ajipe Donkey of the Day!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…