Tukirudi nyuma? Hebu angalia waliobakia humu after the finals za mwaka jana! Je unajua thread iliishia page gani? Ha ha haa...! Litmus paper test, doesn't take much to know the true color, does it? Don't forget one thing however, GSW have re-written the NBA history and suddenly bang, NBA is back...you can take that to the bank😀😀😀!Hahaaa hii thread ukirudi nyuma na kusoma ngebe za stans wa GSt. utacheka sana.
Hahaaa hii thread ukirudi nyuma na kusoma ngebe za stans wa GSt. utacheka sana.
Mwaka jana wengine tulisema kuwa tunaamini kama Kyrie na Kevin wangecheza michezo yote ya fainali basi CAVS wangechukua ubingwa.
Tena ukizingatia mwaka jana GSt. hawakuwa wazuri kama walivyokuwa mwaka huu.
Lakini tuliishia kudhihakiwa.
Well, I guess mwaka huu hiyo imani imekuwa validated. Uongo kweli?
Tukirudi nyuma? Hebu angalia waliobakia humu after the finals za mwaka jana! Je unajua thread iliishia page gani?
Ha ha haa...! Litmus paper test, doesn't take much to know the true color, does it?
Don't forget one thing however, GSW have re-written the NBA history and suddenly bang, NBA is back...you can take that to the bank😀😀😀!
Mechi ikiwa sare zinaongezwa dk5, na ikitoka sare tena zinaongezwa 5 tena mpaka apatikane mshindiIvi kwenye kikapu kuna mechi kuisha kwa sare... na ilishawah kutokea ili
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huu ni ufalaMechi ikiwa sare zinaongezwa dk5, na ikitoka sare tena zinaongezwa 5 tena mpaka apatikane mshindi
Unataka nijibu nini braza??
naona umenimention nikaja mbio........kuna swali gani la kujibu?...
hahahah..jamaa hajitambui,mara yeye si fan wa NBA kiviile,mara atoweke baada ya miezi mitatu arudi humu,..jumping the bandwagon at the rate of WTH/Hour...Though I appreciate some of his take,generally he is just a master troll who exploit the available opportunity...Unataka nijibu nini braza??
Yaani ni mjibu mtu anayedhani he is trolling over here kumbe watu tunamuona kama **** flani hivi teh teh..
Namjibuje mtu aliyesema Warriors watawa sweep Cavs lakini kibao kimegeuka na yeye kageuza kisaani.. He was playing a precaution game.. Wewe ulikuwa wa kwanza kumstukia alafu akajifanya kukugeuka.. Kila Warriors wanapofungwa nadhani uli notice alikuwa anajifanya kupita kusalimia kinafki humu.. Hata wewe ulimwambia akakugeuzia kisaani..
wala si ufala,ni utaratibu wa sheria na kanuni walizojiwekea,..Ukiwaza kisoka soka,utaona haufai...kumbuka kuna michezo mingi sana ina outcome mbili tu,..kushinda au kushindwa..............na labda pambano kuvunjika kama nayo ni sehemu ya outcome..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huu ni ufala
Haya tyta ila kwanin sare hakuna na mtu akishinda game kwenye table inaandikwaje kwa mfano kwenye soka ukishinda kuna point3 huku ikojewala si ufala,ni utaratibu wa sheria na kanuni walizojiwekea,..Ukiwaza kisoka soka,utaona haufai...kumbuka kuna michezo mingi sana ina outcome mbili tu,..kushinda au kushindwa..............na labda pambano kuvunjika kama nayo ni sehemu ya outcome..
hakika ndio maana ziliitwa lottery picks,sometimes these NBA college prospects turn to be either underachievers or live up to expectations...Ever heard of ''The Michael Jordan That Never Was''?..first-round spot nba June 21, 2016 3:27pm EDT June 21, 2016 8:56am EDT We’ve gone through each of the first-round selections made during the lottery era and determined which was the poorest choice at every spot, from 1-30.
The NBA Draft arrives Thursday, which gives teams around the league a chance to search through a pile of prospects to locate a player with the uncommon combination of size, skill, desire and intelligence to become a successful player in the league.
Sometimes, they whiff.
They make big mistakes at the top of the first round and they make mistakes at the bottom. The ones at the top hurt more. Except for those that allow a Draymond Green or someone of that ilk to slip into the second round.
Most regrettable NBA Draft picks in every first-round spot
ndio maana nikaemaje,usiwaze kisoka soka,utahoji sana.Kila mchezo unataraibu zake walizojiwekea ili kuutofautisha na mingine pia kuamini ndio inafaa kwa wakati huo.Hata hivyo sheria nyingi za michezo mbalimbali si misahafu,hubadilishwa pale inapobidi kuendana na wakati na mahitaji ya mchezo kwa kipindi hicho.Labda miaka michache ijayo,wanaweza kuleta utaratibu huu(wa sare).Haya mashirikisho/vyama vya michezo mbalimbali huwa na tabia ya kujifunza toka michezo mingine,wakiona kinawafaa basi watafanya utaratibu wa kuwa sehemu wa mchezo wao.Haya tyta ila kwanin sare hakuna na mtu akishinda game kwenye table inaandikwaje kwa mfano kwenye soka ukishinda kuna point3 huku ikoje
hakika Raimundo & Nzi should enjoy this the most here at JF..Surprisingly,thats not the caseNzi, Raymundo nawapongeza sana kwa ubingwa lakini hasa Raymundo hukuwahi kupotea humu hata wakati umetupa taulo wakati ukihisi umepasuka uso kabla kocha wako hajakwambia fight till the last drop.
I wish nothing but the best for Rose,A fully fit and mentally tough D.Rose will bring a much needed challenge in the East...Anyway.
Kuna surprise trade sana sasa hivi. Rose is no longer a bull.
..I just dont see this happening,though I'll be happy for GSW....OKC still has a championship calibre team.We know RW has issues but OKC is too good of a place for KD to leave.Na Chris Boussard jana kasema he's betting that Durant anaenda Warriors. If this is true naona kabisa Bob Myers atakuwa ameamua kukubali kuwa hana pieces bora nje ya Curry. Na kuwa Curry akipotea the team is lost. If this will be happening, Mungu ndio anajua.
At this time of his career this Man can do whatever he wants, and neither Cuban nor Any Maverick Fan will disrespect his choice.He has done more than expected for that Franchise.I think he will Resign with them Mavs.They are meant for each other.😀Kuna yule mtu wa kuitwa Dirk Nowitzki. Bado najiuliza where he fits most after declaring free agency. Msimu huu surprise zitakuwa nyingi sana.
...mmmhm..that ''Deal'' is under the radar...but you never know with Pat Riley..That man is a ''mafioso'' when it comes to executing a deal..Infact it will be a lucrative one, considering Miami is a bigger market compared to Oklahoma...But I'm praying Durant aende Miami Heat
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huu ni ufala
What does this mean??????? No more KD leaving? Wait first is Oladipo a point guard???? Ooohh yeah he can play both the Point Guard and Shooting guard. This has alot to do with RW... Ila hiyo back court yao itakuwa na midunk khaaa and one of the most athletic if not the back court with the best athleticismOKC trade Serge Ibaka to Orlando
Voctor Oladipo to OKC.
Big deal.
Unataka nijibu nini braza??
Yaani ni mjibu mtu anayedhani he is trolling over here kumbe watu tunamuona kama **** flani hivi teh teh..
Namjibuje mtu aliyesema Warriors watawa sweep Cavs lakini kibao kimegeuka na yeye kageuza kisaani.. He was playing a precaution game.. Wewe ulikuwa wa kwanza kumstukia alafu akajifanya kukugeuka.. Kila Warriors wanapofungwa nadhani uli notice alikuwa anajifanya kupita kusalimia kinafki humu.. Hata wewe ulimwambia akakugeuzia kisaani..
I think with the emerging Adams,Consistent service from Ernes Kanter,and the Never Ibaka we once knew has all paid a part in this trade.........Ila duuh!!hizi move nyingine ni very unpredictable,sasa ushingae huu mzunguko wa hii trade ukaendelea..What does this mean??????? No more KD leaving? Wait first is Oladipo a point guard???? Ooohh yeah he can play both the Point Guard and Shooting guard. This has alot to do with RW... Ila hiyo back court yao itakuwa na midunk khaaa and one of the most athletic if not the back court with the best athleticism
Kuna mawili hapa,either KD was involved in one way or another,or he totally disapproves with this trade(he is very 'tight' with the Congolese).OKC trade Serge Ibaka to Orlando
Voctor Oladipo to OKC.
Big deal.