NBA Season 2015 - 2016: Special thread

u know what....this season i'm in!!!

i don't know if my lovely LA LAKERS wanna be back from hell but i'm in...
 
Curry says knee was not 100% during the playoffs "but who cares"!
 
Curry says knee was not 100% during the playoffs "but who cares"!
Yeah kasema nobody cares... na ndo hii spirit ambayo inamfanya dogo kuna a babyface assassin. I real can't wait for this season to start na kasema nothing won't change on him ili kuaccomodate KD, Klay said the same... ila curry kasema kutakuwa na some changes kiasi tu.. This season nahisi Draymond Green ndo atakuwa defensive player of the year.. hii timu haina defender and I don't see how can't he win it kwa sababu kwenye ufungaji atapunguziwa sana majukumu. Ila I'm mourning we lost Mo Buckets.
 

Klay ana wasiwasi kwa sababu ni lazima ampunguzie shots KD, Curry yuko powa kwa sababu ni natural shooter, hahitaji shots nyingi kuwa na points nyingi ana he can create his own shots tofauti na kina KD na Clay ambao mara nyingi sana watahitaji support ya PG na screens hasa Klay.

Tunasubiri kuona jinsi huo muungano utakavyofanya kazi, ila all in all mkumbuke "Nothing is Guaranteed".
 
Sure nothing is guaranteed... but tell me what if it clicks?
 
It will be fun to watch, and I don't find any team that will standing in their way, may be iff LBJ does a superhuman things again.
Curry kasema they're not thinking of a 74 wins this season... maybe if it just comes their way.. they'll focus on winning the championship
 
Curry kasema they're not thinking of a 74 wins this season... maybe if it just comes their way.. they'll focus on winning the championship

Hata kama wangefocus kwenye 74 wasingefika, last time 73 wins iliwacost, nadhani uliona jinsi ambavyo timu ilikuwa imechoka kwenye playoffs vs Portland, OKC na Cavs!
 
Hata kama wangefocus kwenye 74 wasingefika, last time 73 wins iliwacost, nadhani uliona jinsi ambavyo timu ilikuwa imechoka kwenye playoffs vs Portland, OKC na Cavs!
What I'm glad with ni kuwa hakuna time in the 48 minutes ambayo all four stars watakuwa wamepumzika kwa pamoja. You'll have to face any of them. Sio ile unakuwa na Dray, Curry na Klay all on the bench. Ilikuwa inanikera basi tu. Sasa hivi kuna games KD atakuwa mwenyewe na Livingston ndani na Curry au Klay.
 

Siyo siri mtatisha, maana nikiangalia siyo West wala East, hakuna aliye-upgrade timu yake, maana hata kama mngebaki bila KD bado milikuwa tishio, sasa baada ya kumwongeza KD ni kama mmetengeza timu 2 ndani ya moja.

Hata ile Heat ya LBJ haikuwa kama hii yenu, na imagine itakuwaje kwenye playoffs!
 
I just wish to be like the 2000s Lakers ile ya Shaq na Kobe mdogo... 15-1 in playoffs
 
Shaq kamsifia sana Kobe kwenye First Take aiseee.. anasema he's best post Jordan player. Anasema since he was young he told me I'll be the will Smith of basketball. Na anasema tatizo lao kubwa lilikuwa who's the man of the team and it worked on their advantage kwa sababu they won kupitia upinzani wao. Eti linasema lilikuwa linamind kuwa kwenye paint mule halafu kajamaa kanadriblle tu kupitisha under the legs and shoot. Halafu na Kobe alikuwa anachukia tu kila muda yeye awe anarusha mpira kwa Shaq aliyepost. Jamaa Shaq akasema but Kobe was different, kuna times Shaq alikuwa he's out of the game na anamwambia young Kobe, man Take over.. and kobe would take over the game. Anasema it's like 50 out 50 times when he told Kobe to take over and he took over the game. Anasema alifikiri ile hali ilimuisha mwishoni na siku ya mchezo wa mwisho akamwambia I need your 50 points.. akashangaa amepewa na zaidi. Anasema that Kobe was in Jordan only and no other player.

Limesema eti Jordan kuna siku kwa masikio yake ameisikia akimwambia opponent nitadribble kushoto, kisha chini ya miguu and I'll then score over you, so get ready to defend. Na jamaa Akafanya hivyo kweli .
 
Do you agree with Shaq maana wewe ni LeBron fan

Huo ni mtazamo wake, halafu kama umenote hawa jamaa miaka ya hivi karibuni wanasifiana sifiana sana, hivyo sishangai kwa Shaq kumtaja Kobe.

Juzi Riley naye kasema Shaq was the biggest recruitment than LBJ, kitu ambacho naona sicho.

Watu wanamkubali LBJ kimoyo moyo, siku LBJ akiretire tutasikia nini watakacho sema juu yake, mimi kama mimi LBJ anaanza then Kobe.
 
Mimi LeBron kwa Kobe.... I like LeBron game much more but I love kobe heart by a mile. Huyu jamaa asingeumia hii misimu minne ya mwisho sasa hivi Karl Marlone na Abdul wangekuwa wanapumuliwa and Lakers wouldn't be this crappy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…