NBA Season 2015 - 2016: Special thread


Hahahaha....oh well.....
 
teh teh teh sio kweli... Hakuna aliyecomplain kwa chochote..

The only excuse we had ni ile stopper ya Bucks na tulisema it was 7 games road trip na hakuna timu ya NBA ilishawahi shinda game zote 7 mfululizo on road.. And It was back to back game after 2 OT in Boston..

Hayo mengine mnapandikiza maneno tu... Kwanini tulalamike wakati we are having a best record??
 
View attachment 316970 Kuna mtu alisema he sees Curry as more of a Shooting Guard than a Point Guard... But this is what professionals see after 1.5 season... He is fourth now and still counting..

Hii ni marketing strategy ya NBA, kuonekane kwamba kuna watu ambao wako kwenye list ya all greats na wako active, wanakupa sababu ya wewe kuangalia game. Kama wangekuwekea wote wa zamani una sababu gani ya kuangalia game leo?

But all in all he is not yet there! Wangeweza kumweka kwenye list ya prospects, lakini kumweka hapo ni kichekesho.

BTW, hiyo list siyo ya professionals, ni pundits tu tena wameiweka bila kukusanya maoni.
 

Una uhakika hamkulalamika kwa Curry kumiss game ya Dallas?

Hukuona articles za kwamba DRaymond Green kutokuwepo ndo chanzo cha kufungwa na Denver?

BTW; nawashauri kutafuta ni namna gani mnaweza kuwapumzisha wachezaji wenu game kwa game kupunguza majeruhi kuliko kuikimbiza rekodi ya 72w ambayo hamwezi kuifikia.
 
Hapo juu umesema ni marketing strategy ya NBA lakini huku chini unasema ni pundits tu..

If I may ask, hawa Pundits wanahusikaje na marketing ya NBA?? Wanalipwa wafanye hivo au inakuaje??

Lakini swala la msingi naona umekubali Curry is a face of NBA now.. And huwezi ukapata huo wasaha kama wewe sio mzuri..
 
There you go again!

Sometimes I really think you are far gone from reality.

I mean, you can't be serious.....

Goodness gracious.
Agreed (in bold). Take it easy buddy, at times it is with a light touch...moreover it is just a game, aint it?
Pulverise? I meant the last game that saw Clippers advance to the quarter finals dude.
Wouldn't you say the CAVs were also pulverized in their last game against the Warriors last season?
Nevertheless there's one thing I must say, Steph Curry has brought something very new to the game? Agreed?
 
Hakuna anayekimbiza record ya 72 Wins ndio maana wanapumzishwa... Kwani Green jana si alipumzika mkuu??

Alafu muda wa kupumzika kiivyo sio sasa, acha all star ipite uone.. Spurs are closer now and we need that top seed sasa tuanze kupumzisha wachezaji ovyo wakati top seed haijawa secured?? Hivi Cavs wao wamempumzisha nani??

Alafu hiyo ya Curry sijui kupoteza Game ya Denver mimi binafsi sijawahi kulalamika humu... Kwasababu najua huwezi shinda game zote 82...
 

Man, agenda za NBA zinasambazwa na pundits!

Any marketing strategy lazima ihusishe vyombo vya habari mkuu.

Ni mara ngapi magazeti ya Uingereza yametuaminisha juu ya ubora wa timu yao, wachezaji wao kama kina Rooney, Owen, Sterling etc

Hata NBA anatumia style hizi hizi, na plan ni kumfanya Curry kuwa Face ya NBA, so lazima ianze na kutuambia haya tunayoyaona leo.
 
Ninalofahamu ni kwamba mimi siwezi kulalamika kwa kukosekana mchezaji moja au wawili. Kushindwa ni kushindwa tu kama nilivyokubali hiyo jana tulipopokea kipigo kutoka Colorado. Wanaolalamika toka mwaka jana hadi leo kwa timu yao kufungashwa virago wanafahamika na sitaki kuwataja. Hebu quote post moja humu ndani ya JF ambapo wapenzi wa Warriors wamelalamika baada ya kushindwa.
 

Point noted, kufungwa ni kufungwa.
 
Lakers walinipa matumaini lkn Curry kawaua tayari!I have a dream safari hii Cleveland tunalichukua hasa wote wasipo umia
 
Lakers walinipa matumaini lkn Curry kawaua tayari!I have a dream safari hii Cleveland tunalichukua hasa wote wasipo umia
teh teh teh teh Mkimkosa Curry mnae mzee wa Loki Kawhi...

Aisee ni kwamba Lebron atakuwa 2-6...
 
No objection, lakini kumweka kwenye list ya Best PG ever kwa kushine misimu 2 tu nop.
Je uliwahi kusoma hii?
The sign that a Houston Rockets fan held inside the Toyota Center on Saturday was on point, except for one thing: the roles were reversed.

"Chef Harden cooking Curry," it read, with an image of James Harden stirring Stephen Curry's head into a bowl of basketball bliss.

Curry, as it turns out, was the one cooking Harden as his Golden State Warriors went up 3-0 in the Western Conference finals.

But Curry has been roasting opponents for much of this postseason, his spectacle of performances not only validating the MVP votes that gave him the league's top individual award but changing the way we see today's NBA. What Curry is doing right now is unprecedented.

By hitting seven of nine three-pointers in his latest outing, Curry broke Reggie Miller's mark for three-pointers made in a single postseason in nine fewer games (Miller had 58 in 22 games in 2000, while Curry took 13 games to do it). Curry, who is shooting a scorching 57.6% from three-point range in the past six games (38 of 66), has hit 64. But this is simply the playoff version of what Curry has been doing in the regular season for quite some time, as he has long since become the poster boy of the league's three-point revolution.
 
King Shaat, where ya at playboy?

It's bout that time.

Do you think Alex Smith and them KC boys have a shot at pulling off the upset in Foxboro on Saturday?
Hahaha, here I am, son! What I've came to observe so far about KC is that, they seem to have some magical moments at times but when it comes to clutch moments in games like Saturday, count the Pats all in.

JE might not around, Danny boy might be "asiasi" or 50/50, and Gronk may be not showing up for the practices BUT all that need be is Brady at the helm and his old-school inspirational in-game demeanor!.

We are standing on the right side of the bridge, bru! Nyani Ngabu
 

He is the best 3 point shooter without question currently (season-wise), there are a bunch of guys ahead of him in terms of total 3 points scored that he needs to eclipse before being an all time 3 point shooter!

Putting Curry in top 5 PG of all time considering number of seasons he has played, is just marketing strategy, at least that is how I see it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…