I think LAST SEASON HAWA Bulls ndio waliovunja record ya GSW Nyumbani...Without D.Rose....
Lakini bado wana kazi kubwa pale ''Roaracle'' Arena
Mwanzoni sikuweza kuangalia ila nilipoanza tu nilikuta Warriors wako nyuma pts 23 lakini hata sikuwa na wasi wasi kwani walikuwa kwenye Q2. Kila wakikutana na Clippers mambo ni hayo hayo na game ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo...Warriors walishinda katika dakika mbili za mwisho kama walivyofanya leo. Hiyo ndiyo GSW...ni kweli kabisa,its been a problem since last season....and yet they still win games.............THAT SHOWS ''THE HEART OF A CHAMPION''........
Mwanzoni sikuweza kuangalia ila nilipoanza tu nilikuta Warriors wako nyuma pts 23 lakini hata sikuwa na wasi wasi kwani walikuwa kwenye Q2. Kila wakikutana na Clippers mambo ni hayo hayo na game ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo...Warriors walishinda katika dakika mbili za mwisho kama walivyofanya leo. Hiyo ndiyo GSW...
Mkuu hawa jamaa hata mwaka jana tulikuwa tunazungumza hivi hivi, mwisho wa siku wakachukua ubingwa.
Ngoja tuendelee kuangalia kinachojiri.
ARE THESE FACTS OR PROGNOSTICATIONS????
SO FAR...WHICH TEAM WORKS HARD THE MOST?.......FYI..It aint only a matter of working hard...working smart as well...GSW is far much ahead of them all(LBJ greatest of all in the game has admitted that)...
In his own words....''Warriors are ''hungrier'''
what again!!??!!..each team is fighting for the same spot?...hell no....
It's no brainer to separate the contenders from pretenders....
EARLY PLAYOFFS TEAMS and LOTTERY TEAMS can be pointed vividly...
Unajua msimu unapoishaga wale jamaa huwa wanakamia msimu ujao mbayaaaaaaaaaaaa. Unakuta hapo ndo wengine hawataki mchezo, full gym na full mazoezi. Sasa season hii kama Warrior walibweteka kushangilia watapokonywa taji tu hamna ubishi. Lebron tangu arudi CAVS kakamia kuchukua kikombe balaa ingawa ana challenge za ku overcome yeye pamoja na team. Anyway, just like u said, wacha tuone yatakayojiri.
I am cool hommie.........just a little suprised on your comment ...Mkuu,
Relax.
..now you are talking.....however some are predictable...clearly predictable.Hakunaga game unpredictable kama basketball. That's y i said
Let it roll and lets keep watching.
Wote tupo hapa and you will tell me when the season gets towards the end.
No hurry...................
.......there is only one way to stop curry.................''PRAY HE MISSES''......Labda 50pt lead with 20seconds on the clock...
They are 13-0, na timu walizocheza nazo mpaka sasa LAC x2, Memphis x2, Toronto Raptors x1, NOP x2 na Houston x1; hizi ni timu zilizokuwa na records nzuri msimu uliopita.
Cavs wako vizuri lakini siyo kwa kiwango hiki cha GSW mkuu, jamaa wanatisha.
Curry and Gang have been taking ''lucky shots'' for almost a year now........Daamn...
Hahaha those lucky 3-pointers!. Those lucky 100+pts game! And those lucky "The City" jerseys!
hahahh..new ''unofficial'' evidence that God exist................There has to be some kind of Supernatural power from '' A Supreme'' source...teheteh...that's where our thoughts are finally heading to...
KAKA YOU ARE MISSING SOMETHING SPECIAL FROM THIS WARRIORS...Hawa ni ''Spurs Latest Version''.........
Their ball movement is attractive to watch...Every star and role players play their heart and soul...
..Chukua tu ile ball movement ya Barcelona ipeleke kwa Basketball ...Ndicho wafanyacho GSW...
Unajua msimu unapoishaga wale jamaa huwa wanakamia msimu ujao mbayaaaaaaaaaaaa. Unakuta hapo ndo wengine hawataki mchezo, full gym na full mazoezi. Sasa season hii kama Warrior walibweteka kushangilia watapokonywa taji tu hamna ubishi. Lebron tangu arudi CAVS kakamia kuchukua kikombe balaa ingawa ana challenge za ku overcome yeye pamoja na team. Anyway, just like u said, wacha tuone yatakayojiri.