NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Mtu aliyekosa dunks za leo kakosa uhondo aisee...
 
And that was the show... Both Zack and Gordon were on fire...

This is by far the best Slum Dunk Contest in recent years..
 
Dogo ana speed mbaya kwenye dunk, duh.

Ingawa sikuona live coverage, nimeangalia recorded event yote. Kwa mtazamo wangu show ya Gordon ilikuwa balaa. Sema alikuwa hana mikakati mizuri ya kushinda. Ile dunk, hapa chini, ndiyo alipaswa kumaliza nalo:
Na kama ulimsikia Kenny baada ya hilo dunk, alisema "let's go home" huku Gordon akiiga ile ishara ya "let's go home" aliyoifanya Vinsanity

Sasa dunk lake la mwisho likamfanya ashindwe. Ila angalau mwaka huu Gordon kaja na ubunifu ambao umekuwa ukikosekana kwenye slam dunk competition kwa muda sasa. Lavine hakuwa na ubunifu sana kwa mtazamo wangu: karudia dunks alizozifanya mwaka jana. Kidogo labda kwenye zile alizofanya windmill na between the legs kwenye free throw line. Pia kulikuwa na hype juu ya Zach (watazamaji na hata wachezaji walimshangilia zaidi), pengine kutokana na kwamba alikuwa ni bingwa mtetezi. Ila all in all inaonekana ilikuwa burudani sana.
 
leo ni mambo ya mikuno(drunks) tu kwa game ya West vs East...
 
West dominates as usual...
West 196
East 173

Westbrook with back to back MVP win...
 
TBT:Watch this,Kevin Durant,Damian Lillard,James Harden,Dirk Nowtizky and others are pretty damn good shooters..However,Here,Stephen Curry is making them look like Deandre Jordan shooting free throws,In comparison
Steph Curry 3 ,the rest of the players 0

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…