NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Google all you can and show me one incident where the whole team converged on one individual other than Stephen Curry!
Mzee, 'ulizisoma' vizuri zile picha? Zinaonyesha hali ya ukabaji tofauti na za Chicken Curry. Na tena zile za zamani, zinaonyesha jinsi ukabaji katika NBA ulivyobadilika (naamini unafahamu kuhusu huu mdahalo unaoendelea). Sasa ukabaji wa namna ile huwezi kuufanya, la sivyo inakuwa ni foul play. Kwa hiyo haihusu tu idadi ya watu ambao wamemzunguka mchezaji katika hali ya 'kumkaba', bali ni namna gani wanamkaba.
 


Pulverized the Blazers 136-111 while chasing history...GSW, welcome to the 70s club!

Ha ha ha! Naona Green kama kawaida 'anatafuta' triple doubles...msimu wa jana Westbrook alisemwa sana kwa kufanya anachofanya Green sasa...lakini kwa kuwa kuisema GSW ama mchezaji wake sasa kunachukuliwa na ati 'being salty', ngoja ninyamaze
 
je hilo ndilo jibu lako kwa swali nililouliza hapo juu? Anyway usiwe na wasi wasi, Curry ataendelea kunyanyasa timu kama alivyofanya hii leo kwa timu ya Trail Blazers, je uliuangalia mchezo? Na kama kawaida alipumzika quarter moja nzima lakini bado akaandika pointi 39...huyo ndiye Stephen Curry. Leo Pippen kakiri mchezo wanaocheza GSW ni superior kulinganisha na wa Chicago Bulls msimu wa 1995-1996, je upo?
 
Ha ha ha! Naona Green kama kawaida 'anatafuta' triple doubles...msimu wa jana Westbrook alisemwa sana kwa kufanya anachofanya Green sasa...lakini kwa kuwa kuisema GSW ama mchezaji wake sasa kunachukuliwa na ati 'being salty', ngoja ninyamaze
Nani...Westbrook? Huyu aliyenyanyaswa leo na Harden wa Rockets? Huyo anayecheza mchezo wa show akitafuta sifa...mimi simpendi kweli kweli. Kama si Durant na Ibaka nisingekuwa naangalia michezo ya OKC.
 
Ha ha! Sawa bana...sina jibu...na nipo nikisubiri playoffs
 
Nani...Westbrook? Huyu aliyenyanyaswa leo na Harden wa Rockets? Huyo anayecheza mchezo wa show akitafuta sifa...mimi simpendi kweli kweli. Kama si Durant na Ibaka nisingekuwa naangalia michezo ya OKC.
Kwanini usiseme pia Green anapenda sifa ndiyo maana 'anazitafuta' triple doubles? Maana saa zingine namba zake zinakupa wasiwasi. Kwa mfano, unakuta kwenye game ana triple doubles ya 10pts, 10rbs na 10blks! Doh! Hapa si kuna kila dalili ya 'kuzitafuta' mzee?
 
Kwa hiyo Curry anatafuta sifa kutungua hizo tatu tatu! Klay Thompson anatafuta sifa na yeye kutungua za kwake! GSW wanatafuta sifa kuvunja hizo rekodi za Chicago Bulls na NBA!..@Nzi can you see how ridiculous the statement you made above sounds? Mimi niliposema Westbrook anatafuta sifa, nina sababu na naungwa mkono na wapenzi wengi wanaofuatilia michezo ya NBA...nakuomba u-google uone kama hutakubaliana na mimi. Umewahi kuiona hii, OKC's chances of wining a championship with russell westbrick as point guard are 0 %!

Hebu ingia hapa; Russell Westbrook Sucks Forum
 
Hahaha hii imenichekesha sana

" turnover KING right here. Let me control the ball 99% of the time cuz I like to get my stats yo, forget a win I need my stats"
 
Ulichoandika proves my point...ngoja niendelee kunyamaza, time will tell us..
 
NCAA This Final Four was one for the ages..North Carolina did their best but that buzzer beater by Villanova was the killer. .
 
Kyle Lowry(Toronto Raptors-Former Villanova) I see him in the building more than happy..
 
Michael Jordan(Ex-Tarheel)presence in the building wasn't enough to motivate his beloved North Carolina. .
 
It was a battle worth watching. .moreover,this Year NCAA Tournament(Bball in particular) was full of upset(Marchmadness) I.e From the sweet 16,elite 8 to the Final Four...
 
I feel sorry for Harrison Barnes and James McDoo(Former Tarheels)..I hope just like Draymond Green(Spartans) they will keep the loss behind it and focus on the Match against Timberwolves..
 
Westbrook named West POM, following his 7 triple-doubles in March; most in a calendar month since MJ's 7 in Apr '89...

LBJ named East P for March after avg: 25.6 PPG (2nd in East), 8.2 RPG & 7.1 APG (5th in East)

#PlayoffModeActivated
 
Westbrook named West POM, following his 7 triple-doubles in March; most in a calendar month since MJ's 7 in Apr '89...

LBJ named East P for March after avg: 25.6 PPG (2nd in East), 8.2 RPG & 7.1 APG (5th in East)

#PlayoffModeActivated

Umeiona hii...
NBA top +/- totals since 93-94



Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…