Ni kweli GSW iliumizwa lakini kama nisemavyo siku zote, akaaye karibu na moto, huandaliwa mwanzo!Kama GSW ilivyoumizwa na minnows Timberwolves tarehe 04/05/2016??
Avumaye papa, kumbe wengine wapo...! Pole sana.Love is on #PlayoffMode
Cavs trailing 9pts...2nd half begins
Mimi nimeshazoea (with 23 losses, you get used to it) na I don't brag a lot about Cavs...pole ni kwenu wana GSW mliobrag msimu mzima kwa kusema literally kwa GSW is unbeatable, unbreakable, superteam, capitan America-esque...Avumaye papa, kumbe wengine wapo...! Pole sana.
Kumbukumbu jamani...mbona na yenyewe inaanza kuwa bidhaa dimu? Sijui kama Pop naye atakubaliana na wewe. Nasikia juzi kapumzisha wachezaji akisubiria game ya leo...kila la kheri Raimundo 😉😉😉!Muda wa Spurs kufanya vitu adimu pale Oracle Arena unakaribia.
Baada ya hii game tutaanza kusikia maneno kama "we were not chasing the record...".
Ha ha haa, mbavu zangu! Mbivu hizi...Mimi nimeshazoea (with 23 losses, you get used to it) na I don't brag a lot about Cavs...pole ni kwenu wana GSW mliobrag msimu mzima kwa kusema literally kwa GSW is unbeatable, unbreakable, superteam, capitan America-esque...
Pop ana akili ya basketball kuliko Kerr kama makocha. Yeye target yake ni kuwa na wachezaji ambao hawapo exhausted pale playoffs zitakapoanza..sasa Kerr yeye alilenga 73 wins bila ya kujua athari zake...Kumbukumbu jamani...mbona na yenyewe inaanza kuwa bidhaa dimu? Sijui kama Pop naye atakubaliana na wewe. Nasikia juzi kapumzisha wachezaji akisubiria game ya leo...kila la kheri Raimundo 😉😉😉!
End of first quarter: 20-15...mchezo mgumu, hautabiriki bado.Pop ana akili ya basketball kuliko Kerr kama makocha. Yeye target yake ni kuwa na wachezaji ambao hawapo exhausted pale playoffs zitakapoanza..sasa Kerr yeye alilenga 73 wins bila ya kujua athari zake...
HT: 52-40...Hata hivyo mechi bado ni ngumu sana, chochote kinaweza kutokea kwani GSW wanapoteza sana pasi zao. Turnover zimezidi!
Welcome to the 70s club GSW, the second team in NBA history to win 70 games in regular season. Playoffs, here we come as Western Conference Champs!Hahaha...labda aliandika hivyo kwa kukumbuka ile game ya mwisho iliyochezwa San Antonio...maana ile game kina Duncan walipiga pini moja hatari ikafanya mwisho wa siku game iwe na scores chache...
Making believers out of doubters...Welcome to the 70s club GSW, the second team in NBA history to win 70 games in regular season. Playoffs, here we come as Western Conference Champs!
Asante, that's what I call sportsmanship.Hongereni GSW,
Imebaki game 1 tu ya kudecide kama mnavunja record au mna-equal.
Nawatakia kila la kheri kwenye record.
Hahaha...labda aliandika hivyo kwa kukumbuka ile game ya mwisho iliyochezwa San Antonio...maana ile game kina Duncan walipiga pini moja hatari ikafanya mwisho wa siku game iwe na scores chache...