NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Hahahahaha honey moon ya kustay far away from JF lol! Ahsante sana Mkuu na hongera sana kwa kutie record ya Da Bulls, nilikuwa sitaki kabisa muivunje ile record lakini naona leo baadaye mtatimiza ndoto yenu ya 73-9 ambayo haijawahi kufikiwa na timu yoyote ile, lakini unajua fika kwamba Da Bulls ya 95-96 ilikuwa bora sana ukilinganisha na GSW ya 2015-2016 kama ni kwenye NBA finals Da Balls wangekuja na mafagio na kufanya yao lol!

teh teh teh teh teh Karibu tena mkuu... Naona Honey Moon imeisha baada ya mwaka.. Hongera
 
Nimemsikiliza Charles Barkley jana, duh! Hivi jamaa mzima kweli? Anadai ubingwa wa GSW msimu uliopita ulikuwa wa bahati na kwamba Curry kuchaguliwa kuwa MVP ilikuwa makosa! Akiendelea anadai ushindi wa GSW msimu huu pia ni wa kibahati bahati tu na kwamba ana hakika kwa asilimia 100% hawatafika popote.

Anaowapa nafasi ya U-MVP msimu huu ni pamoja na Russell au Kawhi na kwa mchezo wa leo hadhani kama GSW watafurukuta mbele ya Grizzlies na hivyo rekodi ya 73 itabaki tu ndoto kwao. Alipoulizwa yeye anhatabiri nani atakuwa bingwa mwaka huu anazipa nafasi timu tatu tu...Spurs, OKC na Cavs.

Huyo ndiye Hall of Famer Charles Barkley, nini maoni yako?
 
teh teh teh teh teh kwanzz nishukuru mkuu kwa pongezi zako... Unajua mwaka huu tumevunja rekodi nyingi sana.. Hao Bulls tungewamiminia tatu tatu mpaka wangekimbia uwanjani wana bahati sana hivi vizazi vimezaliwa vipindi viwili tofauti.. Bulls wana kila haki ya kufikia hiyo rekodi maana walikuwa wanacheza kule East kwa vilaza.. Umeona West ilivyo moto?? OKC, Spurs, Memphis, Clippers, Portland aisee safari hii vitimu vya East vimepokea sana kichapo kule West..
 
Hajielewi... Mara asifie Warriors mara aponde..

HOF wenye akili sawasawa kama Pippen na Magic wamesema wenyewe Curry na Warriors ni moto..
 
Hapa chini ni madai yake ya awali, March 8, 2015, kabla ya hayo ya jana.

Charles Barkley Says Warriors Will Not Win 2015-16 NBA Championship

The Golden State Warriors may have proved Charles Barkley wrong last season, but apparently the Inside the NBA analyst still hasn't jumped on the Dubs bandwagon.

Even if they are the defending champs. Even if they are on a historic pace at 56-6.

Barkley made an appearance on The Late Show with Stephen Colbert on Monday night. When the topic turned to basketball, the former hoops star didn't hold back his thoughts on March Madness or Golden State. And once again, he revealed he wasn't a believer in the record-setting Warriors.

"They have a terrific team. They’ve been great for the NBA," Barkley told Colbert (around the 32-minute mark in the video). "I’m telling you right now: They’re not gonna win the championship this year."

Barkley did not go on to predict who will hoist the Larry O'Brien Trophy this June, but he was confident enough in his Warriors prediction to make a friendly wager with Colbert.

Golden State just may prove Barkley wrong for the second consecutive year. The Warriors certainly appear to be the overwhelming favorites at the moment, so the NBA analyst is being bold by picking the field. Should they repeat, Stephen Curry and Co. will have to hook Barkley up with a new shirt.
 
Defence ya Da Bulls ulikuwa unaijua hasa wakati wa playoffs, Scottie Pippen angekula sahani moja na S Curry wala asingefurukuta na Michael Jordan angekula sahani moja na Klay Thompson, hawa wengine wangeachwa wafurukute na unajua fika kwamba Da Bulls wangewasweep kirahisi kabisa na defence yenu ipo ipo tu na ndiyo sababu hata Minnesota waliwafunga kwenu katika mchezo ambao mlikuwa mbele kwa 17 points na bado wakaweza kushinda kwenye OT. Halafu hii NBA ya siku hizi si kama ile ya miaka ile ya akina Bad Boys Detroit Piston au New York Knicks, siku hizi ukiguswa kidogo basi refa kishapuliza kipyenga. Natamani ile NBA ya 90s ingerudi tena na si hii ya sasa ya "usiniguse"

 
Mkuu, kwanza karibu...najua tunakubaliana kwa mengi lakini kwa hapa lazima tutofautiane kidogo. Nilikuwa shabiki mkubwa wa Da Bulls miaka hiyo na hakuna mchezaji aliyenikosha kama MJ lakini lazima tukubaliane kwa jambo moja...vijana wa Warriors wameleta kitu kipya kabisa katika mchezo huo haukuwahi kuonekana.

Hata aliyekuwa kocha wa Da Bulls, Phil Jackson, ambaye mwanzoni alisita kukiri umahiri wa hao vijana taratibu, baada ya kujikuta yuko peke yake huku rekodi zikizidi kuvunjwa, kasalimu amri. Ukisoma tweets za watu kama Scottie Pippen na Magic Johnson, wote wanakiri kuwa kwa mchezo wa GSW, Ba Bulls wangepata shida sana.

Kitaalamu na kiteknolojia ni kama kulinganisha analogue na digital.
 
Flashback to April 16, 2015...

Barkley thinks Warriors play wrong style to win title...

Noted Warriors-hater Charles Barkley was at it again Thursday, using an hour-long TNT conference call as a platform to rip the team that recorded one of the 10-best regular seasons in NBA history and earned home-court advantage throughout the playoffs.

“They’ve had a terrific season,” the Hall of Famer-turned-analyst said. “But I don’t like jump-shooting teams. I don’t think you can make enough jumpers to win four series in a row. I’ve said that for 25 years, not just now. I think you physically manhandle them inside. ...

“I mean, obviously, I think they’re going to beat the Pelicans, but they’ve got some matchup issues.”

Barkley joked that he’d start beating up the Warriors’ record-breaking three-point tandem of Stephen Curry and Klay Thompson as soon as they got off the bus to the game. And the physical dominance should continue inside, where he doesn’t think Andrew Bogut, Draymond Green, Festus Ezeli and Marreese Speights can match up with Omer Asik, Anthony Davis and Ryan Anderson in the team’s best-of-seven, first-round series.

Davis “is going to be the best player in the world within the next three years, when LeBron (James) gets a little older,” Barkley said. “That’s going to be a better series than people think. One thing that Golden State can’t do is beat you down low. With Asik down low and Davis down low, (the Warriors) are going to have their hands full. I don’t think Golden State will get beat, but Anthony Davis is a mismatch. He has a mismatch every night, but he’s going to have a huge mismatch against anybody Golden State puts on him. …

“There are teams you like to play and teams you don’t want to play. Teams are never afraid of a jump-shooting, finesse team. That’s not a knock. They’re just a finesse team. I’d rather play against a jump-shooting, finesse team than any team that’s going to be knocking me down all night or any team that’s going to grind and use the whole shot clock. That’s the knock I have against Golden State.”

It’s as if Barkley is unaware that the Warriors posted a plus-10.1 point differential this season, becoming the eighth team in NBA history to outscore its opponents by an average of at least 10 points a game.

They did it by becoming the first team to finish first in both offensive and defensive field-goal percentage since Philadelphia in 1980-81. They did it by finishing first in defensive efficiency (98.2 points per 100 possessions, according to NBA.com) and second in offensive efficiency (109.7).

The Warriors finished second in blocked shots (6.0 per game) and fourth in steals (9.3 per game). Bogut (95.2) and Green (96.0) each finished with better individual defensive ratings than eight of the league’s past 10 Defensive Player of the Year winners.

“He’s a terrific defender, but he’s going to be undersized against guys he’s playing with down low,” Barkley said of the 6-foot-7 Green. “I think that’s the problem that Golden State has. … He’s going to be trying to guard Anthony Davis, LaMarcus Aldridge, Zach Randolph and Marc Gasol, Blake Griffin and DeAndre Jordan. That’s the problem I think Golden State is going to have when they play against big, physical teams that pound the ball down low.”

Still, Barkley said the Warriors are “a legitimate contender” and a “lock for the conference finals.” He said Cleveland would beat Golden State in the NBA Finals if the two advanced, but he’s not so confident the Cavaliers would beat the Spurs, Clippers, Grizzlies or Trail Blazers.

Fastforward to June 16, 2015.

Warriors Defeat Cavs in Game 6 to Win NBA Championship!
 
Naamini hujaangalia mechi zote ambazo LBJ amecheza toka akiingia NBA, kuhamia Miami hadi kurudi Cleveland. LBJ ni mmoja wa wachezaji wachache wanaoweza kucheza nafasi zote tano.
Hii hapa link inaonyesha LBJ alicheza kama centre wakati yupo Miami.
LeBron James at center? Get used to it.
Kwa Cavs, sikumbuki games husika, lakini nafahamu kuna nyakati katika games pale mmojawapo kati ya Tristan na Timofey anapokuwa hayupo, LBJ nimemwona akicheza kama Centre.
Kwa upande mwingine kutokana na sheria kubadilika, wale mabig kama akina Robinson, Mutombo, Shaq, Olajuwon, Ewing n.k. hawapo tena sasa hivi. Hivyo usitegemee kumwona LBJ akicheza centre kama alivyocheza Ewing! Lakini, ninakumbuka vizuri kumwona LBJ katika centre position.
 
One more thing....don't do cherry-picking...I wrote more than just LBJ playing big...respond to the whole substance of the post..
 
Mag3 hivi ni kwanini nyiye bandwagon fans wa GSW hampendi kusikia mawazo tofauti?! Yaani hamna tofauti na washabiki wa Magufuli ambao wanamwona Magufuli kama mungu mtu, ambaye hapaswi kukosolewa ama kusemwa vibaya! Kumbukeni watu wote hawawezi kuwa na mawazo kama yenu juu ya GSW! Yaani mnataka kila mtu asifie tu akina Curry na GSW kwa ujumla, khaa!
 
Ha ha haa...nitake radhi Nzi, yaani mimi Mag3 uniweke kundi moja na wanaomuona Magufuli kama mungu mtu! Huyo Barkley nimemnukuu kuonesha tu utabiri wake ulivyo wa hovyo. Aliapa GSW hawachukui kome, wakachukua! Leo tena anarudia maneno yale yale, sasa mimi natakiwa nifanye nini? Nikubaliane naye ili nisionekane natofautiana na kila anayeiponda GSW? Naona sasa itabidi nilikache jukwaa hili kwa muda niendelee na stress zangu jukwaa la siasa (natania tu)
 
Anybody else witnessing history? Well, dont worry if you cant, I'll do it for you and make a report. Curry has decided that enough is enough, anakata mzizi wa fitina...!
 
Anybody else witnessing history? Well, dont worry if you cant, I'll do it for you and make a report. Curry has decided that enough is enough, anakata mzizi wa fitina...!
Naona dalili zote za 400-3pointers...
Naona dalili zote za record mpya ya 3-pointers in a single game..
 
Tupo mkuu...

Leo imebidi niwe naswitch between Lakers game(#mambaday) na hii ya GSW...

Huwa siangalii game za Lakers ila leo ngoja nitazame game ya mwisho ya Kobe...

Anybody else witnessing history? Well, dont worry if you cant, I'll do it for you and make a report. Curry has decided that enough is enough, anakata mzizi wa fitina...!
 
Tupo mkuu...

Leo imebidi niwe naswitch between Lakers game(#mambaday) na hii ya GSW...

Huwa siangalii game za Lakers ila leo ngoja nitazame game ya mwisho ya Kobe...
I hope he doesn't make a "Jordan Move"...Kobe is a Jordan Mini Version,obsessed with B.Ball like his idol...I honored him in my own style..wearing a Laker Jersey while watching GSW...
 
Hahah namsikiliza mmoja wa commentators wa ESPN, anakwambia inabidi kuwe na category mpya ya 3-pointers na iitwe most 3-pointers not made by Steph Curry...

Naona dalili zote za 400-3pointers...
Naona dalili zote za record mpya ya 3-pointers in a single game..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…