NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Mkuu Cavs wako vizuri asee. Na wakisonga kwa mwendo huu wana real chances
Ngoja tuone zaidi...vipi chances za GSW bila ya Curry? Rockets wakishinda na tie the series kesho, itakuwa balaa! Curry anarudi lini?
 
Ngoja tuone zaidi...vipi chances za GSW bila ya Curry? Rockets wakishinda na tie the series kesho, itakuwa balaa! Curry anarudi lini?
Hilo nalo swali!. Ila jamaa lazma akamie.
 
Ngoja tuone zaidi...vipi chances za GSW bila ya Curry? Rockets wakishinda na tie the series kesho, itakuwa balaa! Curry anarudi lini?

Curry game 4 atakamia sana, nadhani ni moja ya game nzuri kutazama, ukichukulia pia Houston wako home na hako kaushindi kamewapa confidence.

Ngoja tuone itakuwaje.
 
Spurs inakuwa timu ya kwanza kusogea mbele na kuingia kwenye quarter finals, hongereni!
 
This today is called an annihilation...!
21 3-pointers, wow!
and all without the lethal baby-faced assassin!

This today is called an annihilation...!
21 3-pointers, wow!
and all without the lethal baby-faced assassin!

You call that annihilation while the Cavs cruise through with a 4-0 series win #GoCavs
 
CAVs yawa timu ya pili kufuzu kucheza quarterfinals baada ya Spurs na sasa watasubiri mshindi kati ya Celtics na Hawks.
 
You call that annihilation while the Cavs cruise through with a 4-0 series win #GoCavs
I definitely congratulate the CAVs for a job well done but that aside there is one thing I like about the Warriors, if you beat them one time, be prepared for some worst punishment the next time you meet. They did it to the CAVs, they did it to the Spurs and today they did it to the Rockets. It doesn't matter how high up you are flying, the Warriors will bring you back to earth with a bang!
 
Dah, natamani Steph isiwe serious issue, maana kwa moto wa SAS na Cavs msipate kisingizio.

BTW finalists have swept their 1st round opponents.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…