NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Cavs 30 vs ATL 19, end of Q1

Bahati mbaya siko karibu na TV. Hata hivyo nawatakia kila la heri. Kazaneni sisi tunawasubiri fainali kama mtavuka ila acheni kulialia na kutafuta visingizio mnaponyukwa...ha ha haaa!
 
Bahati mbaya siko karibu na TV. Hata hivyo nawatakia kila la heri. Kazaneni sisi tunawasubiri fainali kama mtavuka ila acheni kulialia na kutafuta visingizio mnaponyukwa...ha ha haaa!

Tuko powa, hii game leo tunaichukua.
 
Tuko powa, hii game leo tunaichukua.
Hakuna cha ajabu hapo hao Hawks ni wateja wenu. Msimu uliopita pamoja na kuwa mabingwa wa EC mliwatandika 4-0. Ajabu ni kwamba wakati mnawatandika kisingizio cha majeruhi hakikuwepo, lakini mlipokwaa kisiki, ngoja mayowe yatande dunia nzima oh Kyrie na Love wangekuwepo!
 
End of 3rd quarter 75-70! Hawks wanajaribu kubana, je wataweza?
 
End of 3rd and the score is 77-76, OKC leads the Spurs...
 
Naona San Antonio Spurs inalala kwa OKC leo...mpaka sasa 98-94 na bado sekunde kumi na nane tu.
 
Umefika muda OKC needs to mature and know how to make big time shots. Unapokuwa unacheza na SAS ambayo ipo out of shape you need to close that game early.

Halafu Kwanini ni kama KD na Westbrook hawafahamu namna ya kucheza mipira ya mwisho ambayo inakuwa inbounds? Leo walikuwa wauwawe kwa inbound Yao wenyewe if it was not for Patty Mills to shoot an air ball. The same thing killed them against the Warriors when Iggy made those two clutch shots.

Anyway there was a call which should have gone against the Thunder during the inbound last possession ball. It was an offensive foul against Manu Ginobili.

This series will be interesting. But I don't want to see OKC against the Cavs in the finals. Kd fails me when matching up against Lebron
 
Hasheem bado yupo NBA wakuu!?
Hapana, mara ya mwisho mwaka 2014 alikuwa anacheza NBA D-League, hebu soma hapa;
Sidhani kama hadi sasa ana mkataba wowote...
 
I always do, and I hope SAS will do me that favor.

Cavs have the ticket to Finals, we will be waiting for you or SAS after sweeping our ECF opponent.
SAS won't be there!![emoji3] believe me fella[emoji4] .

Its the second time for the dubs to take it .The ring .

The favor based on their side though u've to know they have got #StengthInNumbers.

Will u be able to feel unbearable pains that moment.?

The warriors will shine like a Gold after empiring their state[emoji3]
 
It was hell of 13 seconds... Thanks to the refs for not taking away OKC Win.. They really deserve that win alafu isingekuwa fair kwa game kama hii kuamuliwa na FT za dakika ya mwisho..

OKC wakicheza vizuri game zao mbili za kwao naona Spurs safari inaweza kuishia hapo... And no one saw that coming..
 
There is something about the Warriors game that not many people are able to see and Nzi & Raimundo happen to be amongst them. Warriors don't depend on brute strength at the basket and so most of their baskets are not a result of push, pull and scramble, theirs are just clear clean goals that are a result talent, speed and space.

This makes their games just fun to watch...I saw LBJ flex his muscles after wrestling and bull-dozing his way to the basket and sadists seemed to like it. Aldridge can't score if he doesn't wrestle his opponent to the ground and so do many of the big bodied fellows! The talents these have would suit them better as wrestlers than basketball players.

A fellow like Livingston who doesn't have that kind of physic, depends more on talent and space and that he gets because guards are kept busy with the splash brothers. I know there are people who enjoy watching bullies but I still remember Pop, the Spurs coach admiring the Warrior's game and wishing his boys could emulate their style of play.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…