Endelea kuongeza ongeza nyama.Active nishafanya kama ulivyoniagiza, sasa fanya yako mkuu.
Karibu mkuuMdau nashukuru leo kutuletea habari za Basketball big up sana. Basketball hasa NBA naikubali sana sana ni bonge moja la burudani ukifuatilia sema ndio hivyo tumelishwa usimba na uyanga tu hapa bongo plus EPL ya ulaya na wadau kutoupa nafasi. Tukija kwenye mada eastern conference ina team ngumu sio mchezo.
HahahAsante sana mkuu kwa kuleta Uzi wa basketball 🏀 timu yangu pendwa hapo na ambayo Kila ikifikaga usiku wa saa 9 hadi 10 huwa naifatilia ni timu yangu pendwa kutoka western ni Lakers
NBA Team Standings & Stats | NBA.com
The standings and stats of the current NBA season. Keep track of how your favorite teams are performing and who will make the playoffs.www.nba.com
GS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!Asante sana mkuu kwa kuleta Uzi wa basketball 🏀 timu yangu pendwa hapo na ambayo Kila ikifikaga usiku wa saa 9 hadi 10 huwa naifatilia ni timu yangu pendwa kutoka western ni Lakers
NBA Team Standings & Stats | NBA.com
The standings and stats of the current NBA season. Keep track of how your favorite teams are performing and who will make the playoffs.www.nba.com
Huyu mslovaki anabalaa mnoHahah
Karibu sana mkuu
Naonna mlifamya maajabu ya karne kwa kumpokea the magician mwwnyewe doncic
View attachment 3300600
Mnachana sana mikeka nyie jamaa😀😀GS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!
View attachment 3300606
Watoto wa ile mitaa mnauita Bakee.🤣🤣