Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Njoo nikufunze huu mchezo ππWatoto wa ile mitaa mnauita Bakee.π€£π€£
πWatoto wa ile mitaa mnauita Bakee.π€£π€£
HahaGS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!
View attachment 3300606
Mtawapiku cavaliers wako motoπ€£The Bostons we HereView attachment 3300608
Sitaki nicheke Vin π€£π€£π€£Njoo nikufunze huu mchezo ππ
Mpira wa kikapu ni zaidi ya mchezo π raba zipo π wewe tu sogelea kigamboniSitaki nicheke Vin π€£π€£π€£
Poa.. na Soup muhimuMpira wa kikapu ni zaidi ya mchezo π raba zipo π wewe tu sogelea kigamboni
Mixer Broccoli π₯¦ ziwe nyingi hapo unapata nguvu ya kupiga Jump Shots za kutosha kwenye kikapuππPoa.. na Soup muhimu
Hatuna nia ya kuwapikuβ¦.The playoffs are here Baby!! Be ready.Mtawapiku cavaliers wako motoπ€£
Cavs hawacheki na mtu msimu huuMtawapiku cavaliers wako motoπ€£
Huyu jamaa huwaga ni mzima kichwani kweli?.GS all the way, japo tunasua sua this season ila nipo na Steph popote aendapo!
View attachment 3300606
Mtoa mada usijekubali huu uzi wako ulale. Fanya kuleta matokeo ya kila mechi kwa wakati.Haha mida ya wanga