NBA yamesimamisha ligi kwa sababu ya Coronavirus

Nimemaindi sana mshikaji alichofanya, ukisoma post ya Donovan Mitchell instagram kaandika kuashiria hiko kitu pia. Kushauri watu kubehave katika njia ambayo itawalinda watu walio karibu.

So bad.
Kabehave kitoto sana..., kama watoto wa primary na chekechea...mtu mzima unafanya hivi!!!... Huyu ikithibitishwa ni kweli anatakiwa asishiriki tena NBA.
 
huyu mchezaji kunavideo nimeona alikuwa anafanya mzaha wa kuigiza corona ambapo ameonekana akishika kila mike katika chumba cha mahojiano

Alafu aligusagusa mic zote kwa utani yan jamaa lilikuwa linafanya utoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu anatakiwa kutocheza tena NBA ikithibitika ni kweli. This is national security issue.
Nakuambia huyu mwana akipona atafute shughuli ya kufanya nakuambia maana sizani kama kuna sehemu ataweza cheza tena BBALL unajua mwana kazingua amekoholea mc alafu akawaanaulizwa kuwa unacorona alafu akawa anajoke amecost kuanzia waandishi wa habari, players na referees pia ndio watu wakashtukia kuwa mwana alikuwa anatania kwenye conference kumbe alikuwa akiumwa alfu amemute ndio wakaja faster kwenye game hiyo ya wao na thunder.
 
Mbona kama kuna mahali nilisoma walisema kuwa hawata simamisha ligi waingereza. Maana navyojua Italian wameshasimama NBA as well as nao.

Premier League wametoa updates kwamba kesho wanacheza, ila game ya Arsenal iko postponed.

Kuna uwezekano wa mechi zaidi kuahirishwa.
 

Nimeona hiyo, ESPN wamereport, hata post ya Donovan iko wazi amemind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…