mtvbase JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 1,243 Reaction score 561 Jun 30, 2014 #1 Habari za uhakika Mr.maneno leo mchana anaachia matokeo ya nbaa may 2014.
Chibidu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 387 Reaction score 50 Jun 30, 2014 #2 mtvbase said: Habari za uhakika Mr.maneno leo mchana anaachia matokeo ya nbaa may 2014. Click to expand... Mkuu huo uhakika uliutoa wapi? mbona mpaka saa hii hatujamsikia huyo Maneno?
mtvbase said: Habari za uhakika Mr.maneno leo mchana anaachia matokeo ya nbaa may 2014. Click to expand... Mkuu huo uhakika uliutoa wapi? mbona mpaka saa hii hatujamsikia huyo Maneno?