Nbaa may 2014 results are out

Nbaa may 2014 results are out

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu habari za usiku huu.
Matokeo ya CPA May 2014 yatatoka kesho saa saba na robo mchana. Keep informed.
 
Kuna tatizo lilitokea lakini ni dogo tuu. Watu wamefeli sana sasa walikuwa wanastandardize. Yanatoka leo tarehe 30 June. Kuweni wavumilivu
 
oya bosi mbona estimation zako hazina ukweli....unakadiria au uko huko board?
 
oya bosi mbona estimation zako hazina ukweli....unakadiria au uko huko board?

Zina ukweli isipokuwa nawapasheni kadri ninavyozipata. Wanaoamua ni wakubwa sasa wakibadilisha mimi naonekana kama si mkweli. Labda ninyamaze baada ya kutoa habari za mwisho. Ni kwamba wanachokisema lazima leo matokeo wayatoe saa kumi jioni. Wacha ninyamaze nisije kuonekana si mkweli.
 
tuwe wavymilivu saa jumi mpk kumi na moja mala nyingi ndo huwa wanayatoa
 
Je nikiwa na ACCA au CIMA Tanzania zinatambulika?
 
YANI MIMI NAUMWA KABISA.. CONTEMPORARY HAIKUNITENDEA HAKI. EEEH MOLA TUNAKUOMBA UTUSIMAMIE KWA HILI. AMIINi
 
CIMA naweza soma nikiwa bongo au mpaka nienda ughaibuni
 
Bila shaka wana standardize tena, baada ya watu kuwa bado wamefeli sana hata baada ya ku standadaiz mara ya kwanza😱

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Bila shaka wana standardize tena, baada ya watu kuwa bado wamefeli sana hata baada ya ku standadaiz mara ya kwanza😱 I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
sasa huo uproffession unakuwa na uwalakini mambo gani ya kustandardise mala mia nane ka hatujui walete hivo hivo tukifeli tutajifunza tena ili tuwe compitent,,
 
Back
Top Bottom