oya jana yaligomea wapi tena mbona hatujayaona tenaWakuu habari za usiku huu. Matokeo ya CPA May 2014 yatatoka kesho saa saba na robo mchana. Keep informed.
hapa mungu aingilie kati na hawa jamaa aisee dah!!!!!!!!!Kuna tatizo lilitokea lakini ni dogo tuu. Watu wamefeli sana sasa walikuwa wanastandardize. Yanatoka leo tarehe 30 June. Kuweni wavumilivu
oya bosi mbona estimation zako hazina ukweli....unakadiria au uko huko board?
Zina ukweli isipokuwa nawapasheni kadri ninavyozipata. Wanaoamua ni wakubwa sasa wakibadilisha mimi naonekana kama si mkweli. Labda ninyamaze baada ya kutoa habari za mwisho. Ni kwamba wanachokisema lazima leo matokeo wayatoe saa kumi jioni. Wacha ninyamaze nisije kuonekana si mkweli.
Hivi CPA ni sawa PhD
hizo ni international wise hapa zinatambulika vizuri nadhani C.A.G LUDOVICK ana CIMA kama sijakoseaJe nikiwa na ACCA au CIMA Tanzania zinatambulika?
sasa huo uproffession unakuwa na uwalakini mambo gani ya kustandardise mala mia nane ka hatujui walete hivo hivo tukifeli tutajifunza tena ili tuwe compitent,,Bila shaka wana standardize tena, baada ya watu kuwa bado wamefeli sana hata baada ya ku standadaiz mara ya kwanza😱 I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
CIMA naweza soma nikiwa bongo au mpaka nienda ughaibuni