Kwa wale wenzangu na mm tulio kwenye Professional ya Uhasibu na uko na malengo ya kufanya mitihani ya NBAA hatua yoyote,hii taarifa inatuhusu sana!! Ni kua Syllabus mpya tuliyokua tunaisubilia itaanza rasimi kutumika mnamo Novemba 2014 na sio November 2013...kwa taarifa zaidi tembelea hii link http://www.nbaa-tz.org/nbaanews/press.pdf