Nbaa november 2013 results are out!!!!

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu matokeo ya CPA inasemekana yatatoka kesho mchana. Kwa kuwa kawaida yanatakiwa yatoke alhamisi ama ijumaa ya wiki ya mwisho lakini habari za ndani zinasema yatatoka leo kwa kuwa taratibu zote zimeshakamilika haina haja ya kusubiri ijumaa (kwa kuwa alhamisi ni sikukuu)
 
2013 umekuwa mwaka wa kumwaga CPA.Kwa silabi mpya itachukua muda kupata graduates wa CPA wengi maana masomo 10 si mchezo.
 
Namshukuru sana mungu,kwa maana nimeweza kuklia masomo yote matatu ya module E, kuanzia Januari 5 naanza kujiandaa module F.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…