Nbaa revised syllabus

Nbaa revised syllabus

Wanaiga ACCA mfano NBAA somo lilikuwa Management accounting wakati AAC linaitwa Performance Management, kuna haja gani ya kubadili jina kama sio ku-pest?
 
navoskia ataanzia intermediate....so pepa zitakua 10

hizi paper 6 tu , nanga inapaa .sasa wanataka kuleta paper kumi. Hawa jamaa kweli wamenuia kuiua hii tasnia ya uhasibu. Mimi nilidhani paper zitapungua na kuwa 4. Kumbe ndo zimeeongezeka. Hivi tunajua, serikali inasimamiwa na bunge. Hii NBAA inasimamiwa na nani ?
 
ebana kwa mtu aliyetoka chuo kikuu mwenye barchelaor of accounting ataanzia final stage au intermediate?

anaanza na final stage module e...wa intamediate stage ni wenye diploma ya acount.
 
thats right but pepa wanaongeza pepa zilizokua int stage like financial accounting
 
Hivi vyuo gani vyenye exemption ya bodi. Sababu vyuo vingine kama st.john nasikia wanaanza na module C tofauti na wale wa udsm,mzumbe,ifm,tia na vingine vyenye exemption wao wanaanza na module E.
 
Paper zitakuwa kumi kwa wanafunzi wote wenye degree ya Accountancy ! Jiandae kufanya mitihani kumi ya masaa matatu matatu. Huku sijui ni kuiendeleza hii tasnia ya Uhasibu au kuiua ! Hivi hii NBAA inasimamiwa na nani ?
 
Daa bado nina safari hapa nachukua degree 2nd year accounting and finance. Km ndo huo utaratibu umebadirika nomaaaa
 
Back
Top Bottom