Wanaiga ACCA mfano NBAA somo lilikuwa Management accounting wakati AAC linaitwa Performance Management, kuna haja gani ya kubadili jina kama sio ku-pest?
hizi paper 6 tu , nanga inapaa .sasa wanataka kuleta paper kumi. Hawa jamaa kweli wamenuia kuiua hii tasnia ya uhasibu. Mimi nilidhani paper zitapungua na kuwa 4. Kumbe ndo zimeeongezeka. Hivi tunajua, serikali inasimamiwa na bunge. Hii NBAA inasimamiwa na nani ?
Hivi vyuo gani vyenye exemption ya bodi. Sababu vyuo vingine kama st.john nasikia wanaanza na module C tofauti na wale wa udsm,mzumbe,ifm,tia na vingine vyenye exemption wao wanaanza na module E.
Paper zitakuwa kumi kwa wanafunzi wote wenye degree ya Accountancy ! Jiandae kufanya mitihani kumi ya masaa matatu matatu. Huku sijui ni kuiendeleza hii tasnia ya Uhasibu au kuiua ! Hivi hii NBAA inasimamiwa na nani ?