MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,039 Reaction score 855 May 9, 2012 #1 Habari ya leo ndugu zangu wa JF. Please kwa anaye fahamu salary scale ya NBAA 8/9 ni kiasi gani, naomba anifahamishe. Nina ndugu yangu ameitwa na Utumishi kufanya nao interview.
Habari ya leo ndugu zangu wa JF. Please kwa anaye fahamu salary scale ya NBAA 8/9 ni kiasi gani, naomba anifahamishe. Nina ndugu yangu ameitwa na Utumishi kufanya nao interview.