NBAA watatoa mtihani kutumia syllabus mpya au yazamani ?

NBAA watatoa mtihani kutumia syllabus mpya au yazamani ?

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Napenda kuuliza kama NBAA watatoa mtihani kwa ile syllabus mpya waliyoitangaza au ni ile ile ya zamani.

Pia vituo vizuri vya kusomea CPA kwa Dar ni vp?
 
Back
Top Bottom