Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 630
- 121
Habari wakuu,
Nipo mbele yenu kwa ajili ya kusaidiwa taarifa kuhusu kozi za ATEC I&II za NBAA.
Nina bwana mdogo anahitaji kufanya hii mitihani kwa hiyo ninachoomba kufahamu/kujuzwa wakuu ni pamoja na;
- ada za usajiri na mitihani
- muundo mzima na utaratibu wa usomaji (class reviews)
- ada za masomo (tuition fees)
-muda wa kozi (course duration)
naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa majibu mazuri na yenye tija.
Nawasilisha wakuu.