Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 564 Reaction score 593 Aug 2, 2024 #1 Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 Aug 2, 2024 #2 Mkuu hao hawapokeagi simu..ipo ile namba yao nyingine ya dharura ipo ktk ATM zote unaweza piga simu mpaka ukaishiwa chaji na isipokelewe
Mkuu hao hawapokeagi simu..ipo ile namba yao nyingine ya dharura ipo ktk ATM zote unaweza piga simu mpaka ukaishiwa chaji na isipokelewe