Nbc bank badilikeni,hamuwapandishi vyeo wafanyakazi wenu, mfanyakazi anakuwa teller mpaka anastaafu

Nbc bank badilikeni,hamuwapandishi vyeo wafanyakazi wenu, mfanyakazi anakuwa teller mpaka anastaafu

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Namjua mtumishi tangu nikiwa na miaka Tisa mpaka Leo hana idara maalumu,mara arudi teller au awe customer. Service pamoia na uzoefu wote alionao na ni mchapa kazi,

Kwanini asiwe hata loan officer au back office officer,kama elimu ndogo mlimwajilije,

Pia mlinifukuzia kazi ndugu yangu aliekuwa. Manager Urambo mwaka 1997 kiuonevu bila kusikilizwa

Nb😛ia NMB bank hamuwapandishi umeneja wanawake japo MNA utaratibu mzuri wa Ku-rotate ktk idara mbalimbali,

Ila mnafukuza ovyo

Instagram:kaukwaju
 
Back
Top Bottom