NBC BANK mikopo kwa waajiriwa wa UDOM

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
wakuu mimi mwaajirwa wa.. udom mwaka huu..swali langu je udom wanao mkataba na bank ya nbc ..kutoa mikopo kwa wafanyakazi wake .nawasilisha asante
 
wakuu naona kimnyaa...wahusika pia wa nbc bank naomba msaada wenu..
 
Udom vipi mnaajiri Kichaa km huyu. Ww ni Mwalimu.wadern au mlinzi. Hivi kweli huna watu uliowakuta kazini ukawauliza au uende crdb umeshindwa.duuuh hili taifa kweli linawatu
 
NBC ni benki ya hovyo kabisa siku hizi,hata mikopo hawatoi ki hivyo.Nenda bank ndogondogo utafurahi
 
Udom vipi mnaajiri Kichaa km huyu. Ww ni Mwalimu.wadern au mlinzi. Hivi kweli huna watu uliowakuta kazini ukawauliza au uende crdb umeshindwa.duuuh hili taifa kweli linawatu

lecturer huyo..tena anafundisha mpaka wanafunzi wa masters
 
huyu jamaa ni konda wa daladala za udom pale jamatini stand.. mkufunzi mwenye akili timamu huezi shindwa kwenda pale udom nbc kuwauliza ambapo ni karibu na chuo kama kweli we ni mfanyakazi wa udom.
 
Aliiba mtihani std 7, f4,f6 hadi chuo...hahahaaa, hana kitu kichwani. Namkumbuka m/funzi mmoja minaki high school alikuwa anahonga waalimu hata test za monthly...unategemea atakuwaje si kama huyu tu?
 
Udom vipi mnaajiri Kichaa km huyu. Ww ni Mwalimu.wadern au mlinzi. Hivi kweli huna watu uliowakuta kazini ukawauliza au uende crdb umeshindwa.duuuh hili taifa kweli linawatu

Mimi mwenyewe nimeshangaa kwa swali la mtumishi "kichaa" wa UDOM. Kama ni mwanataaluma, basi UDOM poleni sana. Duh, kweli huyu ni kichaa. Pelekeni Mirembe kwa vichaa wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…