kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
kwa kutumia atm kadi gani mpya au za zamadi..
Haijalishi,halafu haya maswali yote yalisha jibiwa toka tunafungua A/C zetu pale miaka zaidi ya 20 sasa leo wanatuletea ukhanithi kama huu,halafu kama picha tulipofungua tuliwapa picha,juzi tunabadili kadi tuliwapa picha na leo ukijaza form hii uweke picha,mimi nafikiri wanampaka hisa kwa hizi studio.
ina maana hela kwenye akaunti haitoki hadi ujaze hizo form?sasa kwa wale ambao hawapo nchini inakuwaje?hii sasa ni kali ya mwaka!ni kwa nbc peke yake au ni benki zote?