copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Habarini,
Mimi ni mdau wenu wa miaka, kwa maeneo mapana naridhika na huduma zenu!
Lkn, kuna changamoto yenu ya pesa kukwama hewani tunapofanya mobile transactions---Kila baada ya muda fulani (miezi minne au sita) lazima mniumize. Hela imetoka kwangu, haifiki inakoenda.. Hapa naweza kusema labda ni changamoto za kimtandao, ambazo pengine niseme haziepukiki kwa level ya tecnolojia ya dunia ya tatu (assumptions)...
Shida yangu kuu kwenu ni pale pesa yangu inayohitaji ikatatue changamoto zangu au za jamaa zangu kwa muda huo, nyie mnaikwamisha hewani, halafu mnaniambia nisubiri masaa 24, hadi 48.. Miaka yote majibu yenu ni haya..
Kwanini msije na utaratibu wa pesa kurudi ilikotoka mara moja inapokwama hewani? Huu utaratibu wa kusubiri masaa 24 ni wa zamani sana..
Mnamuweka mdogo wangu kwenye hatari ya kutokupata usajili wa chuo!
Mnauwezo wa kufanya vema zaidi!
Samahani kwa nitakaye mkwaza.