Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Hii benki kwa kweli tumeichoka sasa.Kila tukija hapa teller ziko saba tunakuta wahudumu 1 au 2 tu,tafadhali sana kama hamtaki kazi ni bora muache tu kuliko kutupa usumbufu wa namna hii.Kuweni makini!