Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Labda ndo hizo 'Huduma za kibenki kwa misingi ya kiislam' almaarufu Islamic Banking.
Karibu kitimoto mkuu, upoze njaa.unasosomolewa na makasisi wewe sio bure!
Karibu kitimoto mkuu, upoze njaa.
Usiogope, jamaa wameshalala sa hivi hawatakuona, niko serious ati.aksante, mkaribishe Kasisi kwanza kabla ya Paroko!