Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yaani Kibu,Lwanga,MkudeKibu pia yupo benchi
Kambini Aliko Mugalu na BandaBM3 yuko wapi?
Hapa nimwendo Mdundo mpaka UbigwaMnyama mkali Simba sc tafuna hao Dodoma jiji.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA NBCPL 2021/2022
Kadi tatu za njano mkuu.BM3 yuko wapi?
Ukiamka UtuambieFT
Simba SC 1 - 2 Dodoma Jiji
Mmefunga Magoli Mangapi Mpk Sasa Kutuzidi Kwenye Ligi?Haya kama kawa kama Dawa Sio Kagoli kamoja kama wale wapiga Makelele na Ligi ya mchangani
Tunaanzia 2 kuendelea