NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Huyu jamaa wa 45+2 Ni mtu wa mchongo Nini!?? Au ndo GSM wenyewe hao washapanga mpk dakika za nyongeza!?? Ni hivi amejuaje kuwa itaongezwa dakika 2 wakati mpira ulikuwa Ni dakika 40!??? Huyu jamaa TAKUKURU waanze naye anajambo analijua...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…