NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

Kwenye nyuzi za updates Uto wako nyuma sana, ila ukienda kwenye special thread yao utaona mtiririko wa comments halafu page ya 1-4 ni comments za mtu mmoja
Hatuna taarabu bado 3 tubebe kikapu .
 
Dk 72' Saido Ntibazonkiza Anatandika Shuti Apa Lakini Linaokolewa Na Biashara United Na Kuwa Corner.
 
Haya wale waliokuwa wanaiponda Simba kuwa itapigika tarehe 28 kwasababu ya kiwango walichokionesha jana niambieni kwa hiki kiwango cha Yanga mna lipi la kuongezea?
 
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
 
Haya wale waliokuwa wanaiponda Simba kuwa itapigika tarehe 28 kwasababu ya kiwango walichokionesha jana niambieni kwa hiki kiwango cha Yanga mna lipi la kuongezea?
Unatetema hapo ulipo
 
Dk 74' Fiston Kalala Mayele [emoji460], What A Move What A Control [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…